Hahaaaa pole una kihoro...yaani nyie mmeanza na "track" nyingine...eti kombe 1 sio mafanikio...hahahaaaaaaaaaaaaaaaa #TeamMburukengeFurahini leo, ila kumbukeni, kiWenger kimewaganda...na keshasema yupo tayari kurenew contract.
Msije kuanza kulalama tu badae...Wenger angekuwa anajipenda, angestaafu ili asije kuondoka kwa aibu.
Kwa miaka 9, kushinda kombe 1 siyo mafanikio. Kwani, hata Wigan, Portsmouth nao wanalo hilo kombe 1.
Leo mtasahau kila kitu, lakini ukweli unabaki, Arsenal kuna shida kubwa. Uwezo wa Wenger umeshafika Omega. Hana jipya zaidi ya kuwajambisha goons kila mara..
Haya sasa wapi Mbu Sambaza dengue kwa Wafukunyuku hawa waliokesha humu ndani kisha wakaangukia pua.
Hahaha...... Wacha mkuu Wacha1 aje amwage mapicha wiki nzima hapa.
Wafukunyuku aka #MburuKenge watatuzowea tu, daaaadddeki!
#MosKwito !
Hongereni sn wakuu!
mimi ni fun mkubwa wa arsenal na leo nimefurahi sana. ila mkuu maneno uliyoyaongea hapo juu ni kweli tupu wenga hana tena jipya aondoke tu. tumechoka na ubahili wake wa kutosajili wachezaji bora.huyu mzee angestaafu leo kwa heshima kuliko huko mbele atafukuzwa hana jipya.Furahini leo, ila kumbukeni, kiWenger kimewaganda...na keshasema yupo tayari kurenew contract.
Msije kuanza kulalama tu badae...Wenger angekuwa anajipenda, angestaafu ili asije kuondoka kwa aibu.
Kwa miaka 9, kushinda kombe 1 siyo mafanikio. Kwani, hata Wigan, Portsmouth nao wanalo hilo kombe 1.
Leo mtasahau kila kitu, lakini ukweli unabaki, Arsenal kuna shida kubwa. Uwezo wa Wenger umeshafika Omega. Hana jipya zaidi ya kuwajambisha goons kila mara..
Hahaaaa pole una kihoro...yaani nyie mmeanza na "track" nyingine...eti kombe 1 sio mafanikio...hahahaaaaaaaaaaaaaaaa #TeamMburukenge
Chifu, unanipangia nini cha kusema? Kuna upenzi wa soka bila utani arifu?
Ni jambo la kushangaza, watu nyiye kwenye siasa mnawasema CCM kwamba hawapendi changamoto, wanapenda kusifiwa tu!!
Haya bana...ngoja nilale zangu.
Nina wasiwasi na ushabiki wako...!!mimi ni fun mkubwa wa arsenal na leo nimefurahi sana. ila mkuu maneno uliyoyaongea hapo juu ni kweli tupu wenga hana tena jipya aondoke tu. tumechoka na ubahili wake wa kutosajili wachezaji bora.huyu mzee angestaafu leo kwa heshima kuliko huko mbele atafukuzwa hana jipya.
Habari zenu wana arsenal humu ndani??
hongereni kina Piere. Fm na Rubaman na wenzake Leo Rubaman naona hautolala Wenger anaona Prince William anachelewesha kuibeba hehehe.