Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Miaka 7?!? Ni miaka 8, miezi 11 na siku 25. Yaani, zilibaki siku 5/6 iwe miaka 9!!
Hata ingekuwa miaka 20 Chifu bado tungekuwa na Arsenal yetu tu....

Once a Gunner, Always a Gunner.....Trophies ni vikorombwezo tu....

Together We Stand....
 
Leo tunaweza kuimba ule wimbo wa We started from two goals down now we are the champions wakati wengine wakiimba They started from the number 1 fell to the seventh.
 
Nijifariji kwa lipi arifu? Kwamba naona wivu goons kushinda? No way my chief!!

Hili si jukwaa la michezo ama?! Mbona nyiye uwa mnakuja na mbwembwe zote kule kwetu?

Kwa hiyo hamtaki utani ama?

Haya bana ngoja niwaache mabingwa wa Football Association Cup.

Lakini, ukweli utabaki, ni kuwa 1 trophy in 9 years is an indication of failure.

#WengerIn
Hivi Chifu, wanaopaswa kuumia kwa timu yao kukosa trophies in 9 years ni nani hasa?, ni wewe ama sisi mashabiki wa Arsenal?...Yaani unaonekana kuumia sana kwa Arsenal kukosa kombe kwa miaka 9....

Na nyinyi ni mabingwa wa nini?......Ama ni mabingwa wa 7/Mabingwa wa namba 7??
 
Look what has happened in the goons' 9 barren yearsView attachment 158900
mkuu lakini ndio wameshinda Kombe tusiwe na chuki binafsi tuwape Hongera sababu tukiwa hivi hatutokuwa na tofauti na tabia tunazomsema Morinho? Tukumbuke na kuwapa Hull pole kwani ndio waliocheza na Arsenal na Arsenal Wana haki yakupewa Hongera hata kwa Shingo upande haibadilishi Kama Arsenal kashinda Kombe hayo ya Fulani alishinda ngapi yashapita.
 
Duh! Afadhali tupate nafasi ya kupita na jezi zetu mtaani. Big up Arsenal!
 
mkuu lakini ndio wameshinda Kombe tusiwe na chuki binafsi tuwape Hongera sababu tukiwa hivi hatutokuwa na tofauti na tabia tunazomsema Morinho? Tukumbuke na kuwapa Hull pole kwani ndio waliocheza na Arsenal na Arsenal Wana haki yakupewa Hongera hata kwa Shingo upande haibadilishi Kama Arsenal kashinda Kombe hayo ya Fulani alishinda ngapi yashapita.
Hawezi kukuelewa huyo....Ana mzio na Arsenal....Anajisahau kama yeye katoka kapa msimu huu.....Mzee wa namba 7
 
Ebana jinsi Wenger alivyokuwa anakwenda katika steji alionyesha jinsi gani trophyless season ilivyokuwa mzigo kwake na alivyofurahi kuutua mzigo. Media za UK zilivyokuwa anti-Arsenal najua hawatakosa la kusema kesho na keshokutwa.
 
mkuu lakini ndio wameshinda Kombe tusiwe na chuki binafsi tuwape Hongera sababu tukiwa hivi hatutokuwa na tofauti na tabia tunazomsema Morinho? Tukumbuke na kuwapa Hull pole kwani ndio waliocheza na Arsenal na Arsenal Wana haki yakupewa Hongera hata kwa Shingo upande haibadilishi Kama Arsenal kashinda Kombe hayo ya Fulani alishinda ngapi yashapita.

Chifu, unanipangia nini cha kusema? Kuna upenzi wa soka bila utani arifu?

Ni jambo la kushangaza, watu nyiye kwenye siasa mnawasema CCM kwamba hawapendi changamoto, wanapenda kusifiwa tu!!

Haya bana...ngoja nilale zangu.
 
My Greetings to TB Joshua na utabiri wake sa Sijui ndo utageuzwa isemwe hakumaanisha hivyo, eti arsenal haitachukua kombe mpaka flani awe mfalme!!! my nose ..kesho utasikia watetezi wakisema Kuna mtu Ali hack account yake
 
Duh Mkuu una kumbukumbu sana...!!
 
The Wenger Years - Overview

How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch

Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.

28rejux.png
Mbona mpaka dakika hii hamna update? Game Theory, Invisible, Maxence Melo, Moderator hembu tutendeeni haki, Wekeni UPDATE HII sredi
 
Last edited by a moderator:
Duh Mkuu una kumbukumbu sana...!!

Mkuu niliiweka hii mbavuni kwangu nikasema ikitokea hii basi tangu sasa na siku zote nitasaka nauli niende Nigeria nikaombewe na Mtumishi Kwani nimekuwa nikisikia wakisema Mara oh katabiri Sijui wastegate, Mara dege la Malaysia mala Sijui nini nkajisemea mwenyewe hembu ningoje na hii maana nilishuhudia mwenyewe akitabiri. Now yametimia, kumbe napaswa kumwamini na kumtegemea Mungu pekee na kamwe si mwanadamu..
 
Back
Top Bottom