lucky sabasaba
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,656
- 1,205
Atletico Madrid wametwaa kombe.....
Atletico Madrid wametwaa kombe.....
manina Arsenal na refa wananipa headache. Refa kapeta clear penati kama 3 hivi.
manina Arsenal na refa wananipa headache. Refa kapeta clear penati kama 3 hivi.
Tukifungwa siji tena humu.... Ciao
Don't be a kwa kwa kwa kwa!!
Habari zenu wana arsenal humu ndani??
Tatizo ni World cup Chifu...Sema ukweli, Ozil ni kama hana mzuka wa kucheza Arsenal..anashindwa kudictate game kama siku za mwanzo!!