![]()
Double decker: Arsenal paraded following
their double victory of 1998
NB wachiopenda waende kujinyonga!
Spot on: Arsenal booked their place in the final
following a penalty-shootout victory over Wigan
![]()
Notice: Arsenal are planning an FA Cup victory parade
around the streets of North London
Wapende wasipende Prof ndio anaongoza
katika kulinyakua hili kombe ....... .... ... ... .. .. .. .. .. ......COYG
Na sherehe timekwisha panga kina Nzi chijui Manda boys, Belo et al walie tu .... ... . ..
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Twahitaji kucukua EPL msimu ujao...seriouslyHili chama nalipenda wakuu. Baada ya FA cup, lazima wafanye maandalizi ya msimu ujao...maandalizi ya ukweli..
Twahitaji kucukua EPL msimu ujao...seriously
Leo FA msimu ujao EPL.mwaka wa kumi huu nasikia kauli hii...........
sawa subirini tu tutajaa humu haswa mkichapwa.
Sijui mtajilamba midomo ama mtatoka kichwa chini?!?!
Kumbe mnasubiria tuchapwe ndio mtiririke humu ndani haya bhana tusubirie tuone.
Kumbe mnasubiria tuchapwe ndio mtiririke humu ndani haya bhana tusubirie tuone.