hahah tutakoma yaani maiti jana kajamba yaani mtaani hakukliki ghasia mtindo mmoja.by the way pokea hongera yangu ya kinafikiKuna mtu mmoja anaitwa Mndengereko Ye huyu ali declare interest mapemaaa kwamba ataumia saana Gunners wakichukua ndoo ya FA, sasa nadhan anauguza maumivi yake japo wenzake hawakuweka wazi but ni ukweli kuwa na wao wanauguza maumivu kimyakimya.
hahaha usiku ulioisha umelala saa ngapi mkuu?Nzuuuuuuuuri saaaaana. Sijui za kwako wewe.
ahsante ila hatuna pressure tunawahesabia the gunners miaka tisa mingine!!Pole zako nyingi
jana mngemuua babu kwa kumrusha juu juu coz hajazoea mika tisa hajarushwa juu kiasi kile.,ila hatuna presuure snana mkuu tunawahesabia miaka tisa mingine as long as wenger ataendelea kufanya makosa yake yaleyale ya kumtegemea giroud na kumkuza sanogoili aje kuwa best strikerna nasubiri kwa hamu kweli mapicha ya Wacha1 Team Mburukenge haaao wamesanda kesho watakuja na story tofauti kabisa.
Kudadadeki Aibu yetu aibu yaaao!?
tuna ngao ya hisaniwewe hata kikombe cha uji huna msimu huu,
mengine sisemi bora ukae kimya
hahah tutakoma yaani maiti jana kajamba yaani mtaani hakukliki ghasia mtindo mmoja.by the way pokea hongera yangu ya kinafiki
hahaha usiku ulioisha umelala saa ngapi mkuu?
jana mngemuua babu kwa kumrusha juu juu coz hajazoea mika tisa hajarushwa juu kiasi kile.,ila hatuna presuure snana mkuu tunawahesabia miaka tisa mingine as long as wenger ataendelea kufanya makosa yake yaleyale ya kumtegemea giroud na kumkuza sanogoili aje kuwa best striker
Kiu uhalisia ngao ya hisani inaangukia msimu ulio pita wala si msimu huu....kwa sababu inachezwa kabla hata ligi kuanza...na inakutanisha washindi wa makombe ya msimu uliopita. Kwa maelezo hayotuna ngao ya hisani
Ulisema 4-2, bado nasubiria...