Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Nilikwambia utaanzisha wimbo mpya mwaka huu. 9years zimeshafutwa. Anzeni kuhesabu miaka ya Man utd sasa
Hao wamebaki kujifariji tu hivi sasa, wao mtaa wao wa saba...
Nilikwambia utaanzisha wimbo mpya mwaka huu. 9years zimeshafutwa. Anzeni kuhesabu miaka ya Man utd sasa
Look what has happened in the goons' 9 barren yearsView attachment 158900
hongereni kina Piere. Fm na Rubaman na wenzake Leo Rubaman naona hautolala Wenger anaona Prince William anachelewesha kuibeba hehehe.
hongera mkuu Leo Wenger na u Bouncer wake anaweza kuvua shati akamtanushia Maureen Kule darajani.Welcome to America Arsenal July 23rd in NJ/NYC got to see my FA CUP champs..
Ukweli ni kwamba Arsenal ni mabingwa wa FA Cup 2013/2014....
#Mburukenge Man Utd ni trophy less msimu huu na mwakani hawashiriki hata Europa League..
Ni ajabu na inashangaza kocha aliyeshinda vikombe vitatu vya EPL, vitano vya FA na Community shields nne kuitwa Specialist in failures.....Chuki binafsi?
Hahahaaaah,,,,,,,,hiyo miaka 9 imeisha sasa..
Duh.......Naona Mipasho ya Mzee Yusuph imeanza sasa..Quiting managerial activities? Going to modelling?!?View attachment 158902
Hao wamebaki kujifariji tu hivi sasa, wao mtaa wao wa saba...
hii room mpaka July basi itatokea kwenye 1723 mpaka 3000 pages Tusubiri Pic za Wacha1 tuwape nafasi Yao.
Miaka 7 mbona michache sana Chifu.....Angalia yasije yakakutokea na wewe...
Dah...Wenger anaogeshwa champagne hapa....funny...
#TunarudiKwaKishindoSasa ....Ni mwendo wa vikombe....
COYG...
Duh.......Naona Mipasho ya Mzee Yusuph imeanza sasa..
Hebu ngoja nikuache Chifu...Nipongezane na Gunners wenzangu
Mheshimiwa achana naye huyo yupo anajifariji,,,,
Steve Mcmanaman anamsifia Sanogo anasema watu wamemsahau Higuain na Suarez kwa namna Sanogo alivyocheza Leo.
Nijifariji kwa lipi arifu? Kwamba naona wivu goons kushinda? No way my chief!!
Hili si jukwaa la michezo ama?! Mbona nyiye uwa mnakuja na mbwembwe zote kule kwetu?
Kwa hiyo hamtaki utani ama?
Haya bana ngoja niwaache mabingwa wa Football Association Cup.
Lakini, ukweli utabaki, ni kuwa 1 trophy in 9 years is an indication of failure.
#WengerIn