Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
ndo hivyo lazima tuendane na mazingira tuwe flexible all the timeteh teh teh teh haya bhana naona umeamua kuibadili furaha yako.
ndo hivyo lazima tuendane na mazingira tuwe flexible all the timeteh teh teh teh haya bhana naona umeamua kuibadili furaha yako.
ndo hivyo lazima tuendane na mazingira tuwe flexible all the time
kama jana tulivyomwombea njaa bayernHakika you have proved that ur flexible katika kuwaombe watu njaa.
Pamoja saana mkuu.
Huyu jamii huwa ananifurahisha na kunishangaza anavyowananga kwa sasa wachezaji wa mpira wanao play-act uwanjani wakati yeye ndiyo alikuwa master katika eneo hilo.
hicho ndicho mnachokiwaza misimu nenda misimu rudi kujihakikishia usalam wa nafasi yenu ya nne
tumpate mara ngapi pale anakuja van gaal washakubaliana tayari sema kwa ethics za kazi hawawezi kuweka wazi mpk asign so we subiri official news tu ila trust me kabla ya tarehe 7 atakuwa confirmed kocha wa man uNyie mlishindwa kufikisha malengo ya kuipata hiyo nafasi mnayotubeza kila mwaka. Moyes alipewa lengo moja, la kuipeleka timu UCL mwakani na akachemsha. Hamna la kutucheka mwaka huu. Kwanza inaelekea mna shida ya kupata kocha mpya, kila mnayemu approach anawatolea nje. Subirini mwakani mje kuchonga.
Wapi Swansea? Manake Cardiff ndio hawapo au mwaka mwengine wasubiri Cardiff pia ikarudi.I hope Manchester United makes to UCL
Arsenal manager Arsene Wenger has never doubted he will remain at the Emirates Stadium helm beyond the summer. Wenger moved to reassure supporters he will sign a new contract, as pledged, once the season is complete, after leading his team on a lap of honour following their 1-0 Barclays Premier League victory over West Brom in their final home match. The Frenchman also ruled out a move for Loic Remy, despite the QPR striker attending Arsenal's routine triumph - secured by Olivier Giroud's first-half header.
"Don't worry, don't be too impatient, my last time will come, you'll get rid of me one day, don't worry!" Wenger said, reiterating his intention to sign a new contract. "I've said many times my word is my word. I'm from a period where you didn't need a pen to commit.
"Look at me, look at me. You will see me again.
"It's not linked to the FA Cup final. It was important, of course, to be in the Champions League - that's for sure. "No. I've had no moments of doubt. If I had moments of doubt it would have been a few years ago when I had to say no to many offers and commit to this club and I was under a lot of pressure." Wenger said he did not invite Newcastle loan forward Remy to the Emirates Stadium, joking he hoped the France hitman had paid for his ticket.
The Gunners chief also admitted he will fight to keep out-of-contract stars Bacary Sagna and Lukasz Fabianski at the club next term. "Honestly, I've just been informed that Loic Remy was here - I didn't know," Wenger said. "I don't see any sign of us signing Loic Remy. I hope he's paid for his ticket! I have not invited him." Confirming loan midfielder Kim Kallstrom will return to parent club Spartak Moscow in the summer, Wenger said he will do everything in his power to retain coveted duo Sagna and Fabianski. Wenger will aim to use supporter acclaim surrounding full-back Sagna to try to keep him in north London. "I want Sagna to stay and I hope the reception from the fans convinces him that we love him here," Wenger said. "We have two players at the end of their contracts - Sagna and Fabianski. If it's down to me, they both stay." After slipping up 3-0 to Aston Villa on the season's opening day, Arsenal completed the rest of their home fixture run without further defeat. Wenger admitted Arsenal's failure to sustain a title challenge revolved around a goal shortage, but refused to lament not recruiting an extra striker. "I would just say, to be brutal in our first analysis, we missed a few goals, compared to the teams who scored the most goals, and we missed some big away games by conceding too many," Wenger said.
Mkuu ushaanza kuchanganyikiwa eeh? #Moskwito anasema we ushajikalia kimyaaaa,umekubali yaishe!! Ngoja tuchukue FA utajua yupi ni yupi kati ya hao wawili. HahahaaaaI thot Ng'wamapalala ni liverfool...au ni Gwamahala!????
Mkuu pamoja sana, Kama tutashinda mechi ya leo basi itakuwa last 5 games zote tumeshinda. hii inaonesha kwamba kama tungekuwa kule juu like we did before basi kuna uwezekano mkubwa wa kuchukua EPL, so far kuna marekebisho flani inabidi yafanyike ndani ya kikosi hasa kudhibiti timu kubwa zisitufunge, tukiweza hilo basi hamna timu ya kutusumbua pale Britain..!!......COYG!!!......WHERE ART THOU?
TOGETHER WE STAND,......dahhhh, msimu ndio unakata kona,
soon majukwaa yatakauka story haya,...
One final EPL game, then closing the curtain kwa FA cup final...
dahh,...cant wait for the day aisee,...MwenyeziMungu atuweke hai na uzima.
Naiona siku hiyo atashinda Nzi hapa aliyevaa Belo la Mndengereko! si unawajua tena
hawa watu kwa domooooo!
Ntuzu keshajikubalia matokeo sasa, kimyaaaaa na Mentor wake.
Come on you Gunners!...one final push!!!
kamanda Wacha, rubaman, Sizinga, Wandugu Masanja, Balantanda, piere. Fm, Ng'wamapalala et al..
...#TogetherWeStand !!!