Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

......COYG!!!......WHERE ART THOU?
TOGETHER WE STAND,......dahhhh, msimu ndio unakata kona,
soon majukwaa yatakauka story haya,...

One final EPL game, then closing the curtain kwa FA cup final...
dahh,...cant wait for the day aisee,...MwenyeziMungu atuweke hai na uzima.
Naiona siku hiyo atashinda Nzi hapa aliyevaa Belo la Mndengereko! si unawajua tena
hawa watu kwa domooooo!

Ntuzu keshajikubalia matokeo sasa, kimyaaaaa na Mentor wake.
Come on you Gunners!...one final push!!!
kamanda Wacha, rubaman, Sizinga, Wandugu Masanja, Balantanda, piere. Fm, Ng'wamapalala et al..
...#TogetherWeStand !!!

Pamoja sana mdudu Mbu Lets wait for may 17, and remember we are not THE DEVELS So "if God is with us no one can be against us."
lets keep going Gunners.
#COYG .
 
Last edited by a moderator:
NI kweli, Records hazidanganyi mkuu!!
2005 – The "Park The Bus" Final21st May 2005Arsenal 0 Manchester United 0 (Arsenal won 5-4 on penalties)
Millennium Stadium
Attendance: 71,876
Jens Lehmann, Lauren, Kolo Toure, Philippe Senderos, Ashley Cole, Cesc Fabregas (Robin van Persie), Patrick Vieira (captain), Gilberto Silva, Robert Pires (Edu), Jose Antonio Reyes, Dennis Bergkamp (Freddie Ljungberg).
Penalty scorers: Lauren, Ljungberg, van Persie, Cole, Vieira.

Siku hiyo goons walipaki train, siyo basi...kwani walishambuliwa kama nyuki...pamoja na kikosi chenu bora kabisa kuwahi kutokea, lakini mkapaki train, duh!
 
Huyo Ng'wamapalala ananichokoza! Wewe tangu lini Msukuma Wa Nkoma baliadi akapenda TIMU yenye jezi nyekundu!?
Nhamala Ntuzu upo?. The special one anasemaje?.

Nilikueleza kipindi kile kuhusu uwezekano wa timu yako kutokuwa bingwa wa EPL pamoja na kwamba ilionekana inaweza kuwa bingwa.

Jezi ya blue na Msukuma wapi na wapi?. Hata kwenye ngoma huwezi kumuona ngika au ngalu amevaa nguo ya blue.

Rangi nyekundu inakupa ujumbe kuwa ni hatari tupu, kaa mbali!.

Kilichobaki ninyi kwa sasa ni kwenda holiday baada ya kuondoka mikono mitupu katika mashindano yote pamoja na kutumia pesa nyingi!. Mimi angalau bado nina matumaini ambayo yatajulikana tarehe 17 May kwenye mida ya 19:00 GMT.
 
Last edited by a moderator:
Mashabiki wa Manchester United bwana wao kazi kuingia Kumbi za watu kuongelea vitu havina point kwa msimu huu Kama vile wao hawajachemsha kuliko wenzao wote hutafuta visababu vya kuzuga Kama vile hawajamaliza wa 7 nafikiri Manchester United wangewatafuta Totenham Spurs ndio wakutaniana nao au wachini Yao Southampton manake hata Everton hamuoni then anakuja kumtania Arsenal au kujipendekeza kwa City wakati moyoni anajuwa anawachukia ila dowa la unafiki linawasumbuwa Kubalini tu Arsenal Wenzenu wapo juu yenu tena hamuwaoni mkichungulia juu mnaona Totenham na chini Southampton wacheni kujifurahisha uongo mashabiki wa Manchester United.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
I thought the last time goons played FA cup final was vs. Man United in 2005? Ng'wamapalala
Chief Nzi point yangu ilikuwa imejikita kwenye uwanja wa Wembley katika final match za FA cup ambapo match ya mwisho ya FA cup ambayo tulifika final tulicheza katika uwanja wa Wembley na kushinda.

Match yetu na Man United kwenye FA cup final haikuchezwa Wembley bali ilichezwa Cardiff kwenye uwanja wa Millennium.

Ninafahamu tulishawahi kutandikwa na Chavs mwaka 2009 kwenye semi-final ya FA cup ambayo pia ilifanyika Wembley Stadium, lakini sikutaka kugusa kwa sababu haikuwa mzizi wa point yangu.
 
Last edited by a moderator:
Nhamala Ntuzu upo?. The special one anasemaje?.

Nilikueleza kipindi kile kuhusu uwezekano wa timu yako kutokuwa bingwa wa EPL pamoja na kwamba ilionekana inaweza kuwa bingwa.

Jezi ya blue na Msukuma wapi na wapi?. Hata kwenye ngoma huwezi kumuona ngika au ngalu amevaa nguo ya blue.

Rangi nyekundu inakupa ujumbe kuwa ni hatari tupu, kaa mbali!.

Kilichobaki ninyi kwa sasa ni kwenda holiday baada ya kuondoka mikono mitupu katika mashindano yote pamoja na kutumia pesa nyingi!. Mimi angalau bado nina matumaini ambayo yatajulikana tarehe 17 May kwenye mida ya 19:00 GMT.

Mkuu Ng'wamapalala Habari ZA Siku Ni Nzuri tu ndugu yng! Nimeona hatutafutani Mkuu nikaona nikutafute!

Wewe uvae nguo nyekundu Umekua mchawi! Nguo zetu Ni nyeusi Na blue! Mimi mpk shuka zangu ZA kujifunika Ni blue!

Pamoja sn Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Lakini Records huwa hazidanganyi Ntuzu, manake hata ukichachua ukweli utakuwa wazi tu...ni kama historia vile. Uzuri ni kwamba nyote nyie mnajuana mmetokea kwenye milima ya URAMBO.
Mkuu Sizinga Huyo ndugu yangu Ntuzu anataka kuukataa ukweli ndani ya mantiki. Nilimwambia mapema kuwa pamoja na kwamba timu yake inaonekana kushinda EPL lakini haina maana kwamba watashinda. Jibu amelipata Jumapili ya jana.

Bora sisi ambao tulijipima mapema, tukawa na Realistic Observation kuhusiana na timu yetu.

Tunaisubiri kwa hamu but consciously hiyo tarehe 17 May!.
 
Last edited by a moderator:
NI kweli, Records hazidanganyi mkuu!!
2005 – The "Park The Bus" Final21st May 2005Arsenal 0 Manchester United 0 (Arsenal won 5-4 on penalties)
Millennium Stadium
Attendance: 71,876
Jens Lehmann, Lauren, Kolo Toure, Philippe Senderos, Ashley Cole, Cesc Fabregas (Robin van Persie), Patrick Vieira (captain), Gilberto Silva, Robert Pires (Edu), Jose Antonio Reyes, Dennis Bergkamp (Freddie Ljungberg).
Penalty scorers: Lauren, Ljungberg, van Persie, Cole, Vieira.
My fellow Gunner Sizinga point yangu ilikuwa ni kuangalia historia ya timu yetu kucheza kwenye FA cup final Wembley stadium. Kama ulivyobainisha, hiyo match ilichezwa Cardiff ndiyo maana sikutaka kuigusa.

Nadhani utakuwa umenielewa poiny yangu.

Once a Gunner, Always a Gunner
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ng'wamapalala Habari ZA Siku Ni Nzuri tu ndugu yng! Nimeona hatutafutani Mkuu nikaona nikutafute!

Wewe uvae nguo nyekundu Umekua mchawi! Nguo zetu Ni nyeusi Na blue! Mimi mpk shuka zangu ZA kujifunika Ni blue!

Pamoja sn Mkuu!
Ninashukulu ndugu yangu Ntuzu . Kumtafuta ndugu yako kwa mema ni baraka.

Pole kwa yaliyowapata katika mashindano yote. Msimu huu mmerudi nyuma kulinganisha na Msimu uliopita!. The Special one lazima apewe P45 na aonyeshwe mlango wa kutokea!.

Niaomba utuombee neema nasi kwenye match yetu ya tarehe 17 May.
 
Mkuu Jose Bado yupo hawezi kuondoka Pamoja Na kupata patupu msimu Huu!

Nawatakieni kila laheri angalau mji Wa London wapate ata ndoo kwa TIMU zao!

Pamoja sn Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Chief Nzi point yangu ilikuwa imejikita kwenye uwanja wa Wembley katika final match za FA cup ambapo match ya mwisho ya FA cup ambayo tulifika final tulicheza katika uwanja wa Wembley na kushinda.

Match yetu na Man United kwenye FA cup final haikuchezwa Wembley bali ilichezwa Cardiff kwenye uwanja wa Millennium.

Ninafahamu tulishawahi kutandikwa na Chavs mwaka 2009 kwenye semi-final ya FA cup ambayo pia ilifanyika Wembley Stadium, lakini sikutaka kugusa kwa sababu haikuwa mzizi wa point yangu.

Nimekusoma chifu...ila ile gemu goons mliutafuta mpira balaa...mlimshukuru sana Scholesy kwa kukosa penati...
 
article-2626004-000CE4E700000258-365_634x395.jpg

Double decker: Arsenal paraded following
their double victory of 1998

article-2626004-1D0F638000000578-521_634x436.jpg

Spot on: Arsenal booked their place in the final
following a penalty-shootout victory over Wigan

article-2626004-1DC47FE200000578-902_634x533.jpg

Notice: Arsenal are planning an FA Cup victory parade
around the streets of North London

Wapende wasipende Prof ndio anaongoza
katika kulinyakua hili kombe ....... .... ... ... .. .. .. .. .. ......COYG

Na sherehe timekwisha panga kina
Nzi chijui Manda boys, Belo et al walie tu .... ... . ..
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
NB wachiopenda waende kujinyonga!
 
Tunalihitaji hili ndoo la FA like never before.....lets go gooners msirudie kama siku zileeeeee.
 
article-0-1DD73C5400000578-537_634x437.jpg

In demand .. .. .. prof at the press conference ... ... .. .
Kumbe kuna vitimu misimu yao imekwisha khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeee COYG
 
Back
Top Bottom