Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Naona bhandugu Masanja na Wenzako mwamchambua sn SPECIAL ONE. Khe Khe Khe Khe
Mbona mnasahau Mambo ya GEROUD NA MZEE WENGER?
Anyway! Nyie hamufahamu mpira Wa au falisafa ya Jose Mourinho! Ata km mnajaribu Kiasi Kusema kweli Lkn Bado mtakua mnampalapasapalapasa turrrre Jose Mzee Wa Happy One!
Pale kwa Jose iko KANDANDA aina zote uzitakazo! Tena tumelizika na idadi ya magoli ya STRIKERS wetu waliuofunga kwasababu Sisi ni timu ambayo kila mchezaji anawajibika KUFUNGA! upo hapo Bhandugu Ng'wana Masanja?
Falsafa yetu kwanza nikujihakikishia DROO kabla ya matokeo ya pili KUSHINDA. Na Ndio maana kuishinda Chelsea ni kz sn iwe home au away!
Ktk Falsafa yetu iko na mambo mengi sn na Ndio maana mpira wetu siku zote ni km butu vile au mgumu! Kuna wale wanaoamini kwamba njia nzuri ya kulinda timu ni kujenga timu ktk mfumo Wa kushanbulia tu! Lkn always huu mfumo siku zote ni hatari sn! Kwasababu unavyozidi kushambulia ndivyo unavyozidi kujiweka kwenye HATARI ya kufungwa. hii tumekua tunaona kwa Fc Barcelona, B Munich, Man City, Arsenal, ata Liverpool!
Kwahiyo kuna mengi sn ktk KANDANDA ya Jose na kubwa Zaidi Jose anacheza mpira kulingana na timu anayokutana nayo!
Kwahiyo Ba na Torres na Eto'o watakua wakifanya mambo taratibu! Hiyo Jose kuwataja hao kina Cavani au Costa, Falcao ni kuwapa presha hao wachezaji wetu wakazane kidogo wasipoa!
Vp lini mtamfukuza Mzee Wenger?
Usijali Mkuu wangu km utaweza pata ata access ya Internet huko utakuwepo, usisahau kupita ktk thread yetu chelsea muwakilishi peke ktk 19 za EPL ktk CL!
Khe Khe Khe Khe
Bhandugu Mwana wane Masanja,,,,,,Pamoja sn Mwana!
tukiwa peke yetu huwa tunapiga kazi hatucheki na mtu; kombe linanukia. tunahitaji kushinda mechi 2 tu kuwa mabingwa wa Ulaya..rahisi sana kuliko kuwa bingwa wa Uingereza.
Maana Uingereza lazima tushinde mechi zetu zote alaf tusikilizie matokeo ya wengine.
Najua wadau mpo busy na sherehe ya Muungano...ila Kizuri ni wale jamaa zetu wanaotupumulia unyayoni leo wamedondokea pua dhidi ya Southampton, so kinachotakiwa ni kukaza tu kujihakikishia hatufikii tena,manake anatupa presha sana Toffees Wacha1, Mbu, @Piere. Fm, DullyJr, Balantanda, Katavi, Ng'wamapalala
Najua wadau mpo busy na sherehe ya Muungano...ila Kizuri ni wale jamaa zetu wanaotupumulia unyayoni leo wamedondokea pua dhidi ya Southampton, so kinachotakiwa ni kukaza tu kujihakikishia hatufikii tena,manake anatupa presha sana Toffees Wacha1, Mbu, Piere. Fm, DullyJr, Balantanda, Katavi, Ng'wamapalala
Najua wadau mpo busy na sherehe ya Muungano...ila Kizuri ni wale jamaa zetu wanaotupumulia unyayoni leo wamedondokea pua dhidi ya Southampton, so kinachotakiwa ni kukaza tu kujihakikishia hatufikii tena,manake anatupa presha sana Toffees Wacha1, Mbu, @Piere. Fm, DullyJr, Balantanda, Katavi, Ng'wamapalala
Pamoja sana...After all Best Players wao wanaondoka mtu km Barry na Lukaku watarejea home baada ya Loan deal kuisha...Ross Barkley kuna uwezekano mkubwa akauzwa dau kubwa
Mkuu wangu. Ninashukuru kwa kunishika sikio.Najua wadau mpo busy na sherehe ya Muungano...ila Kizuri ni wale jamaa zetu wanaotupumulia unyayoni leo wamedondokea pua dhidi ya Southampton, so kinachotakiwa ni kukaza tu kujihakikishia hatufikii tena,manake anatupa presha sana Toffees Wacha1, Mbu, @Piere. Fm, DullyJr, Balantanda, Katavi, Ng'wamapalala
nimechukia sana coz nimewaona hawapo serious na top four ila kwa upande mwingine nimefurahi coz mkiipata top four na mkabahatisha kuchukua fa that means wenger anaendelea kubaki arasenal ambacho ni kitu kizuri anatupunguzia tittle contenders wa epl next seasonPamoja sana mkuu aacha tu hao The Toffies wabanduliwe wamepewa laana kwa kusasababisha bwana Daudi atimuliwe.
BTW sijui baada ya matokeo hayo ndugu yangu Mndengereko ana hali gani!?
nimechukia sana coz nimewaona hawapo serious na top four ila kwa upande mwingine nimefurahi coz mkiipata top four na mkabahatisha kuchukua fa that means wenger anaendelea kubaki arasenal ambacho ni kitu kizuri anatupunguzia tittle contenders wa epl next season

Bila shaka leo usiku Wazee wa Carpet wakiwa homeground wataendelea kunifurahisha, kila la kheri The Gunners....
Mkuu wangu. Ninashukuru kwa kunishika sikio.
Sikuweza kuona match yoyote kwa vile nilikuwa barabarani naendesha kuelekea Scotland.
Umenifanya niwe na hamu sana ya kuangalia Match of The Day tonight.
This is half good news.
Hata hivyo tuna match ngumu sana on Monday na hawa The Magpies wanaoambatana kila match na Jeshi lao linalojiita The Toon Army.
Once a Gunner, Always a Gunner.
Leo sitaangalia mpira nitakuwa nafuatilia hapahapa JF...nipo mazingira sio kabisa..