I thot Ng'wamapalala ni liverfool...au ni Gwamahala!????
My fellow Gunner Mbu ninashukuru kwa dokezo lako.......COYG!!!......WHERE ART THOU?
TOGETHER WE STAND,......dahhhh, msimu ndio unakata kona,
soon majukwaa yatakauka story haya,...
One final EPL game, then closing the curtain kwa FA cup final...
dahh,...cant wait for the day aisee,...MwenyeziMungu atuweke hai na uzima.
Naiona siku hiyo atashinda Nzi hapa aliyevaa Belo la Mndengereko! si unawajua tena
hawa watu kwa domooooo!
Ntuzu keshajikubalia matokeo sasa, kimyaaaaa na Mentor wake.
Come on you Gunners!...one final push!!!
kamanda Wacha, rubaman, Sizinga, Wandugu Masanja, Balantanda, piere. Fm, Ng'wamapalala et al..
...#TogetherWeStand !!!
Asante Ng'wamapalala for sharing this useful information
Lakini Records huwa hazidanganyi Ntuzu, manake hata ukichachua ukweli utakuwa wazi tu...ni kama historia vile. Uzuri ni kwamba nyote nyie mnajuana mmetokea kwenye milima ya URAMBO.Huyo Ng'wamapalala ananichokoza! Wewe tangu lini Msukuma Wa Nkoma baliadi akapenda TIMU yenye jezi nyekundu!?
Lakini Records huwa hazidanganyi Ntuzu, manake hata ukichachua ukweli utakuwa wazi tu...ni kama historia vile. Uzuri ni kwamba nyote nyie mnajuana mmetokea kwenye milima ya URAMBO.
I thought the last time goons played FA cup final was vs. Man United in 2005? Ng'wamapalala
this season we all got what we deserve ,kuanzia arsenal man u chelsea na man city.na liverpool......COYG!!!......WHERE ART THOU?
TOGETHER WE STAND,......dahhhh, msimu ndio unakata kona,
soon majukwaa yatakauka story haya,...
One final EPL game, then closing the curtain kwa FA cup final...
dahh,...cant wait for the day aisee,...MwenyeziMungu atuweke hai na uzima.
Naiona siku hiyo atashinda Nzi hapa aliyevaa Belo la Mndengereko! si unawajua tena
hawa watu kwa domooooo!
Ntuzu keshajikubalia matokeo sasa, kimyaaaaa na Mentor wake.
Come on you Gunners!...one final push!!!
kamanda Wacha, rubaman, Sizinga, Wandugu Masanja, Balantanda, piere. Fm, Ng'wamapalala et al..
...#TogetherWeStand !!!
Hahaaaa #Haters kumbe bado mna mnuso humu Jukwaani??? Ngoja FA ndo dawa yenu nyie #TEamMburukenge na msemo wenu wa (#9YearsTrophless)Still a bunch of loosers, mnaongoza league hadi january na mnambwela mbeleni