Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mzee Wenger nae sasa anawaingiza Thomas Rosicky na Mathiew Flamini badala ya Aaron Ramsey na Mesut Ozil.
 
Dakika inakwenda ya 83, bao ni Arsenal 3 Newcastle United 0

Target for 4th place achieved.

Next, Wembley for FA Cup fainal.

Dogo Yaya Sanogo anaingia badala ya Olivier Giroud.

Nao Newcastle wanamuingiza Yanga Mbiwa badala ya Matio Debutchy.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Lakini tukumbuke kwamba West Brom Albion watakuja Emirates kwa kishindo na matokeo ya sare hayatakuwa mabaya sana.

Inaeleweka wazi kwamba Yaya Toure amepona na amerudi Man City na Everton hawawezi kuwafunga City hata kama wanacheza kwenye uwanja wao wa Goodison Park.


 
Thanks Gunner.

Our redefined season's objectives is almost achieved!.

Huyu kocha wa Newcastle, Alan Pardew baada ya kumuona Wenger anapata wachezaji wengi kutoka France au French-speaking countries ambao wengi walileta mafanikio kwa kubadilisha hata style ya uchezaji katika Arsenal na BPL, basi akaamua kufanya kama alivyokuwa anafanya Wenger kwa matumaini ya kufanya vizuri kwenye BPL. Hakufahamu kuwa timu siyo wachezaji pekee, input ya Manager katika kuwafundisha ni zaidi ya uzuri wa mchezaji.

Newcastle ina wachezaji Wafaransa zaidi ya kumi. Siyo ajabu hata timu ya Taifa ya Ufaransa kwa sasa haifanyi vizuri. Wamepata leo walichopanda. We don't care about it.

Kilichoko mbele yetu kwa sasa ni ukuta wa The Baggies. Tukiuvuka huo salama siku ya Sunday, 4 May after 15:30 GMT, basi kazi iliyokuwa imebaki kwenye BPL itakuwa imemalizika salama.

Tukutane tena Jumapili.

Once a Gunner, Always a Gunner.
 
chief umenikumbusha mbali, MATCH OF THE DAY!! Bado ALAN HANSEN,GARY LINEKER na ADRIAN CHILLES wanahost hii show au washabadilishwa??
Chief, siyo kwamba nimekukumbusha karibu!.

Match of The Day bado ipo na inaendelea vizuri.

Adrian Chiles alishahama na kujiunga na ITV Sport. Kwa sasa kiti kinakaliwa na Gary Lineker akisaidiwa na Alan Hansen na pia Alan Shearer. Kuna pundit wengine ambao huwa wanakuja na kuondoka kama Danny Murphy.

Alan Hansen hata hivyo atastaafu baada ya World Cup mwaka huu.

Kuna MOTD 2 pia ambayo huwa ni Sunday night.
 
Chief, siyo kwamba nimekukumbusha karibu!.

Match of The Day bado ipo na inaendelea vizuri.

Adrian Chiles alishahama na kujiunga na ITV Sport. Kwa sasa kiti kinakaliwa na Gary Lineker akisaidiwa na Alan Hansen na pia Alan Shearer. Kuna pundit wengine ambao huwa wanakuja na kuondoka kama Danny Murphy.

Alan Hansen hata hivyo atastaafu baada ya World Cup mwaka huu.

Kuna MOTD 2 pia ambayo huwa ni Sunday night.

.....bila kumsahau Robbie Savage 😉


#MosKwito !
 
Mkuu Sizinga je unafikiri kiasi cha 100 atakachopewa Mzee Wenger, zitatosha kuimarisha kikosi hapo Julai 2014?

Mkuu Richard muda mrefu sijakuona hapa Jukwaani...Hizo habari mi sitaweza kusema lolote kwani mzee Wenger kila mtu anamjua...anaweza akapewa fungu halafu akallikataa na akakataaa kusajili expensive players huku akijigamba kwamba ana kikosi kizuri,si mara moja wala 2 kakataa fungu huyu mzee.
Ngoja tusubiri tuone hatma ya Wenger ingawa kwa kiasi kikubwa naona ataendelea kuongozan jahazi,manake hata target players wake hatujawasikia bado.
 
Last edited by a moderator:
Wala usiwe na shaka Prof haendi kokote ingawa anatakiwa kule France kwa kitita cha £22 million after tax wakati Gunners wanampa £8 million tu. Huyu sio mediocre coach kama unavyofikiri.

Hivi unafikiri hilo jina na
Prof ni la maji marefu? khe khe khe khe keh khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Timu inayoogopwa kwenye EPL na ambayop imekwenda season bila kufungwa na kimburu yeyote. Tunaanza na FA cup then mtatukoma tu khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Diaby on his way back, Jack on his way back, Rambo and Ozil already back stay tuned .... ... .... ...
its you who should stay tune sisi macho na masikio yetu yote tunayelekeza msimu ujao kawaida yetu huwa tunateleza msimu mmoja unofuata tunarekebisha makosa.
 
Back
Top Bottom