Umuhimu wa Champions League
Hizi ni takwimu za msimu wa 2012-13
Pesa ni kwa kutumia sarafu ya Euro
Kutafuta nafasi (Arsenal itacheza mchuan huu) : €2,100,000
Ada ya kulipia kucheza mchuano wa makundi: €8,600,000
Kila timu inaposhinda mechi moja inapata: €1,000,000
Timu zinapotoka sare kwenye mechi za kwenye makundi zinapata: €500,000
Mzunguko wa 16 au last 16 (kufikia hapo): €3,500,000
Robo-fainali: €3,900,000
Nusu-fainali: €4,900,000
Anaeshndwa fainali: €6,500,000
Bingwa anapata: €10,500,000