Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa hicho kikosi ulichoniwekea hapo Juu sina mashaka kabisa points 3 muhimu tushaziweka kibindoni, naweza kulala tu now

pamoja sana mkuu, but the magpies wamepigwa mech 5 mfululizo so leo wa takomaa sana.
 
Mkuu Sizinga je unafikiri kiasi cha 100 atakachopewa Mzee Wenger, zitatosha kuimarisha kikosi hapo Julai 2014?
 
Newcastle walianza kwa kucheza mchezo wa kupakia basi na sasa inabidi waende mbele, na huo ndio utakuwa mwisho wao.
 
Arsenal sometimes wanacheza kama hawataki lakini wamegundulika hivi majuzi kwamba huwa wanahifadhi nguvu kwa ajili ya mechi muhimu.

Huu mtindo wa kushikilia nafasi ya nne sifahamu Arsene Wenger anaupendea nini.
 
Back
Top Bottom