Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inaelekea nafasi ya 4 itakuwa decided hadi mwisho mwa ligi. Everton wananipa tumbo joto kuliko mawazo ya kubeba FA Cup
 
article-0-1D39353600000578-278_634x518.jpg

The boys are back ... ... ....
Arsenal stars grin in the changing room
after comfortably beating Hull City

article-2608806-1D38F31900000578-120_634x391.jpg

Podolski ...... .... the man of the moment ....
Lukas Podolski celebrates scoring Arsenal's
second goal of the game against Hull

article-2608806-1D38DC0B00000578-769_634x402.jpg

Good game: Podolski (centre) celebrates
with team-mates Olivier Giroud (left) and Aaron Ramsey

article-2608806-1D38D15200000578-505_634x388.jpg

Hull goalkeeper Stephen Harper can only watch
as Podolski's shot hits the back of the net

article-2608806-1D38C55F00000578-707_634x415.jpg

Aaron Ramsey (right) puts Arsenal into a 1-0 lead at the KC Stadium

COYG...... ........ ...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hul city wamezidiwa sana kuanzia nguvu, mbinu hadi mpangomkakati, wanakoswakoswa magoli mengi sana. Dk ni ya 70 sasa

....sitashangaa May 17th wakaja kivingine kabisa,...
 
Unapokuwa na strikers kama Ba na Torres timu moja kisha unalalamika hawafungi magoli wakati wewe ni kucha wa ku-defend na formation yako si ya ushambuliaji bali kuvizia kushambulia unategemea nini?
Ameshakurupuka na kusema anawataka Radamel Falcao, Diego Costa na Cavani.............kocha mzuri kama Wenger ama Simeone angeweza ku-work na Toress na Demba Ba na angewabadilisha kuwa deadly striking partnership, na sio kuwa-dis kwenye media kama huyu bwana mkubwa.
Costa akienda Chelsea basi kipaji kimekufa! Mark my words

sijui Torres na Ba waingiaje kwenye hii argument lakini kumbuka maneno yako mwenyewe kuwa Mourihno na Pelegrin ni makocha wa shortcuts na wananunua mafanikio na nilichojaribu kukuonyesha kuwa si kweli kuwa hao makocha wawili ni makocha wa shortcuts kwa kuwa hata BR au DS wakiwa timu tofauti unaweza pia kuwaita wananunua ubingwa kutokana na mfumo na uwezo wa timu husika na pia ambitions za mwenye timu.

kuhusu tatizo la mis firing stricker wa chelsea na kiasi fulani huwa namlaumu Mou,nafikiri tatizo lake ni kuamini kuwa atakuwa na striker mwungine next season hivyo kushindwa kuwa na mfumo unaowasaidia hawa mastraiker wa sasa, ila naamini angekomaa na kumpanga BA mechi zote za epl na kuifanya timu icheze kumsaidia BA labda na yeye angekuwa na angalau magoli 15 au ziaidi.
ila pia kumbuka huyo huyo Mou alikomaa na misfiring Drogba kipindi alipohamia chelsea mpaka akaja kuwa mfungaji bora wa msimu na striker hatari zaidi kwenye EPL.
WENGER anangaika na Giroul aliyekuwa top scorer wa ligi kuu ya ufaransa lakini sasa ni misfiring striker, sometimes mambo huwa yanakataa tu,,
 
Wenger Out Brigade jifunzeni kwa yaliyotokea kwa Moyes. Wenger ataondoka soon or later lakini msitegemee changes za haraka haraka. Miezi 10 sijui kama imekamilika tangu apewe cheo sasa ni jobless.
 
Jaribu kuangalia mfumo wa uchezaji wa Chelsea ndio utajuwa kwanini hawafungi magoli, hao unaowaona hawafungi walitakiwa na timu nyengine Mou alikataa kuwatoa kwani anajuwa akiwatowa ndio imekula kwake
sijui Torres na Ba waingiaje kwenye hii argument lakini kumbuka maneno yako mwenyewe kuwa Mourihno na Pelegrin ni makocha wa shortcuts na wananunua mafanikio na nilichojaribu kukuonyesha kuwa si kweli kuwa hao makocha wawili ni makocha wa shortcuts kwa kuwa hata BR au DS wakiwa timu tofauti unaweza pia kuwaita wananunua ubingwa kutokana na mfumo na uwezo wa timu husika na pia ambitions za mwenye timu.

kuhusu tatizo la mis firing stricker wa chelsea na kiasi fulani huwa namlaumu Mou,nafikiri tatizo lake ni kuamini kuwa atakuwa na striker mwungine next season hivyo kushindwa kuwa na mfumo unaowasaidia hawa mastraiker wa sasa, ila naamini angekomaa na kumpanga BA mechi zote za epl na kuifanya timu icheze kumsaidia BA labda na yeye angekuwa na angalau magoli 15 au ziaidi.
ila pia kumbuka huyo huyo Mou alikomaa na misfiring Drogba kipindi alipohamia chelsea mpaka akaja kuwa mfungaji bora wa msimu na striker hatari zaidi kwenye EPL.
WENGER anangaika na Giroul aliyekuwa top scorer wa ligi kuu ya ufaransa lakini sasa ni misfiring striker, sometimes mambo huwa yanakataa tu,,
 
Jaribu kuangalia mfumo wa uchezaji wa Chelsea ndio utajuwa kwanini hawafungi magoli, hao unaowaona hawafungi walitakiwa na timu nyengine Mou alikataa kuwatoa kwani anajuwa akiwatowa ndio imekula kwake

Naona bhandugu Masanja na Wenzako mwamchambua sn SPECIAL ONE. Khe Khe Khe Khe

Mbona mnasahau Mambo ya GEROUD NA MZEE WENGER?

Anyway! Nyie hamufahamu mpira Wa au falisafa ya Jose Mourinho! Ata km mnajaribu Kiasi Kusema kweli Lkn Bado mtakua mnampalapasapalapasa turrrre Jose Mzee Wa Happy One!

Pale kwa Jose iko KANDANDA aina zote uzitakazo! Tena tumelizika na idadi ya magoli ya STRIKERS wetu waliuofunga kwasababu Sisi ni timu ambayo kila mchezaji anawajibika KUFUNGA! upo hapo Bhandugu Ng'wana Masanja?

Falsafa yetu kwanza nikujihakikishia DROO kabla ya matokeo ya pili KUSHINDA. Na Ndio maana kuishinda Chelsea ni kz sn iwe home au away!

Ktk Falsafa yetu iko na mambo mengi sn na Ndio maana mpira wetu siku zote ni km butu vile au mgumu! Kuna wale wanaoamini kwamba njia nzuri ya kulinda timu ni kujenga timu ktk mfumo Wa kushanbulia tu! Lkn always huu mfumo siku zote ni hatari sn! Kwasababu unavyozidi kushambulia ndivyo unavyozidi kujiweka kwenye HATARI ya kufungwa. hii tumekua tunaona kwa Fc Barcelona, B Munich, Man City, Arsenal, ata Liverpool!

Kwahiyo kuna mengi sn ktk KANDANDA ya Jose na kubwa Zaidi Jose anacheza mpira kulingana na timu anayokutana nayo!

Kwahiyo Ba na Torres na Eto'o watakua wakifanya mambo taratibu! Hiyo Jose kuwataja hao kina Cavani au Costa, Falcao ni kuwapa presha hao wachezaji wetu wakazane kidogo wasipoa!

Vp lini mtamfukuza Mzee Wenger?
 
......In Your Dreams kamanda, Arsene Wenger mpaka achoke mwenyewe.

#MosKwito !
 
Mdudu Mbu Khe Khe Khe Khe

Siku inakuja utatengua kauli Yako hii!

Mdudu mwenzio Nzi alikua mbishi sn na kumtetea sn DM Lkn saizi kakubali matokeo!

Khe Khe Khe
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na baadhi ya maelezo yako
Jose kweli kocha mzuri na kila kocha ana falsafa zake, Jose ana kulinda kwanza kufunga baadae ikitokea nafasi, kama kumbukumbu zangu zipo vizuri Jose alikataa Baa asiende Arsenal kwani ni sawa kuipa ubingwa Arsenal,
Arsene yuko tofauti pia sio rahisi kwa yeye kufukuzwa kwani sio yeye tu hata bodi karibia nzima ya Arsenal inakubaliana nae katika uendeshaji wa timu sasa ikiwa kumuondosha itabidi bodi ya Arsenal ibadilike ndio itakuwapo dalili ya Arsene kuondoka na hata hivyo bodi ikibadilika naye hatokuwa mjinga kwa kuenda tofauti na muajiri wake
Ninaelekea sehemu ambayo nitakosa mawasiliano kwahiyo sitouona mpira waleo
Naona bhandugu Masanja na Wenzako mwamchambua sn SPECIAL ONE. Khe Khe Khe Khe

Mbona mnasahau Mambo ya GEROUD NA MZEE WENGER?

Anyway! Nyie hamufahamu mpira Wa au falisafa ya Jose Mourinho! Ata km mnajaribu Kiasi Kusema kweli Lkn Bado mtakua mnampalapasapalapasa turrrre Jose Mzee Wa Happy One!

Pale kwa Jose iko KANDANDA aina zote uzitakazo! Tena tumelizika na idadi ya magoli ya STRIKERS wetu waliuofunga kwasababu Sisi ni timu ambayo kila mchezaji anawajibika KUFUNGA! upo hapo Bhandugu Ng'wana Masanja?

Falsafa yetu kwanza nikujihakikishia DROO kabla ya matokeo ya pili KUSHINDA. Na Ndio maana kuishinda Chelsea ni kz sn iwe home au away!

Ktk Falsafa yetu iko na mambo mengi sn na Ndio maana mpira wetu siku zote ni km butu vile au mgumu! Kuna wale wanaoamini kwamba njia nzuri ya kulinda timu ni kujenga timu ktk mfumo Wa kushanbulia tu! Lkn always huu mfumo siku zote ni hatari sn! Kwasababu unavyozidi kushambulia ndivyo unavyozidi kujiweka kwenye HATARI ya kufungwa. hii tumekua tunaona kwa Fc Barcelona, B Munich, Man City, Arsenal, ata Liverpool!

Kwahiyo kuna mengi sn ktk KANDANDA ya Jose na kubwa Zaidi Jose anacheza mpira kulingana na timu anayokutana nayo!

Kwahiyo Ba na Torres na Eto'o watakua wakifanya mambo taratibu! Hiyo Jose kuwataja hao kina Cavani au Costa, Falcao ni kuwapa presha hao wachezaji wetu wakazane kidogo wasipoa!

Vp lini mtamfukuza Mzee Wenger?
 
Nakubaliana na baadhi ya maelezo yako
Jose kweli kocha mzuri na kila kocha ana falsafa zake, Jose ana kulinda kwanza kufunga baadae ikitokea nafasi, kama kumbukumbu zangu zipo vizuri Jose alikataa Baa asiende Arsenal kwani ni sawa kuipa ubingwa Arsenal,
Arsene yuko tofauti pia sio rahisi kwa yeye kufukuzwa kwani sio yeye tu hata bodi karibia nzima ya Arsenal inakubaliana nae katika uendeshaji wa timu sasa ikiwa kumuondosha itabidi bodi ya Arsenal ibadilike ndio itakuwapo dalili ya Arsene kuondoka na hata hivyo bodi ikibadilika naye hatokuwa mjinga kwa kuenda tofauti na muajiri wake
Ninaelekea sehemu ambayo nitakosa mawasiliano kwahiyo sitouona mpira waleo

Usijali Mkuu wangu km utaweza pata ata access ya Internet huko utakuwepo, usisahau kupita ktk thread yetu chelsea muwakilishi peke ktk 19 za EPL ktk CL!

Khe Khe Khe Khe

Bhandugu Mwana wane Masanja,,,,,,Pamoja sn Mwana!
 
Back
Top Bottom