Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dk ya 86, hul wamelala na hawana matumaini tena ya kufunga, mechi inaelekea ukingoni
 
Chambelain ndani anatoka Giroud dakika ni ya 73 kwenda ya 74, bao ni 3 kwa bila. Arsenal wanaongoza

Naona wachovu wetu leo wamejitutumua! Dk ya 87 wako mbele kwa magoli 3! Sisi tuliwapiga mkono Hawa washika mitutu wa London!
 
Mkuu unafanya wenzako watamani usingeandika hayo maneno juu hehehehe hata jela za ukonga wanajua game za mpira zimefikiaje mkuu Leo sio FA cup!

Kula leki FA Cup ingekuwa leo kuna watu wangekuwa wameshajitundika hadi sasa. Nikitaja majina watanitukana ahem belo, DonDonald etc.
 
Leo dawa ni moja tu kuhakikisha Everton anatupiga nyingi.
 
Naona mashabiki wanaanza kuondoka uwanjani nadhani ni wa hull city wale
 
Asanteni sana wadau wote, karibuni sasa tumalizie gem kwenye uzi wetu wa wazee wa msimamo mkali wa kutopanda wala kushuka haijalishi tumefungwa, tumefunga ama tumetoka sare.
 
Haya hawa wadudu wa 7 wafanye tunachotaka wafanye tupumue vizuri mechi ijayo.
 
Asanteni sana wadau wote, karibuni sasa tumalizie gem kwenye uzi wetu wa wazee wa msimamo mkali wa kutopanda wala kushuka haijalishi tumefungwa, tumefunga ama tumetoka sare.

Kumbe mkuu chama lako ndo tia maji tia maji sio...The Chosen One
 
Back
Top Bottom