Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu nawafuatilia kwa karibu nikimuuguza mzee wangu na sasa nipo safarini naelekea Mtwara toka Dar
Tuendelee kupeana moyo hasa kwa nyakati hizi tukifuatilia kikombe cha FA...Kwenye ligi huku naona hatuna jipya zaidi kugombania 4th.
Wacha1 Mbu piere.Fm ARCHBISHOP Katavi Balantanda and all #Haters

Pamoja sana mkuu na pole sana kwa kumuuguza mzee Kwa niaba ya Gunners fans wa jukwaa hili naomba nikutakie kila la kheri umuuguze mzee salama na Afya yake ikae poa.
#COYG .
 
Last edited by a moderator:
Watani leo Kupata nafasi ya 4 mtashangilia kama ndio mmekuwa mabingwa.Kama kawaida yenukila mwaka mnataka 4th place, then mnaanza kumlaumu Wenger!
Khaaaa!
Inabidi mbadilike sasa kila mwaka kuwania 4th place ni mediocrity
Mkuu hii ni BPL.

Kuna watu tu kwa hulka za Waingereza na Media zao wasiopenda kuona foreign football manager anakuwa na mafanikio nchini basi wameishanunua hulka hii na wanataka Wenger aondoke.

Kwanza walianzia kwenye hoja ya kusema, Wenger yeye kazi yake ni kupendelea wachezaji kutoka nchi yake kwa faida ya taifa lake (France), huku England ikikosa wachezaji kwenye timu ya Taifa. Ndiyo maana English Media zinampenda sana Harry Redknapp kwa sababu yeye mara nyingi anapenda English Player katika timu yake kwa mtaji wa kupendwa lakini mafanikio ni zero katika maisha yake kama Football Manager.

Pili, kwa sasa wanasema Wenger hana mafanikio pamoja na kukaa muda mrefu kwenye timu na anapaswa awajibishwe. Hoja hii imekuja kwa sababu swala la kutokuwa na wachezaji wengi Waingereza kwenye timu yake (Arsenal) amelijibu kivitendo ukilinganisha na timu zingine ambazo ni always BPL Top six.

Hebu fikiria Man City kiasi cha pesa walichotumia kwa wachezaji na kununua Manager mpya kwa msimu huu bila kusahamu msimu wa mwaka jana lakini kwa sasa wameambulia League Cup and Champions League football next season.

Kwa yale aliyoifanyia Club, Wenger ameishapata uharali wa kutokufukuzwa bali kuondoka kwa mapenzi yake.
 
Sina matatizo na Wenger, as a matter of fact I admire his philosophy ya kukuza vipaji huku akiwa na tight budget. Angalia makocha kama akina Diego Simeone, Arsene Wenger ama hata Brendan Rogers. Hawa ndio makocha wa ukweli in a sense that timu zao ni bora na they are performing at the highest level ukizingatia vilabu vyao havina uwezo wa kuvunja banks.
Wengine watu kama akina Pelegrini na Maurinho ni watu wa shortcuts tuu na hununua ubingwa kwa pesa
 
Nimekupata Mkuu. Kama nilikosea kuuelewa mzizi wa hoja yako basi natanguliza samahani.

Labda niseme tu kuwa, uongozi wa club ya Arsenal, hii ni pamoja na wanachama na wapenzi wanafahamu maana ya fadhira kwa binadamu kutokana na mchango wake katika club.

Ninakubali kuna makocha sehemu fulani duniani ambao ni wazuri zaidi ya Wenger ambao hawajulikani sana, lakini timu kama Arsenal inawahitaji kwa sababu ya udogo wa Transfer budget yake, tatizo ni kuwaona kwa sababu ukikosea tu na kuleta Manager ambaye siyo mzuri, kuna uwezekano wa timu kuwa kama The Lilywhites.

Lazima pia tukubali kuwa, pamoja na kwamba ligi ni moja (BPL) ambayo ina timu 20, lakini uwezo wa timu kifedha unatofautiana sana. Kujitambua kwa mashabiki, wanachama na uongozi wa team ndiyo kunafanya team iwe stable uwanjani na nje ya uwanja bile kujali makundi mengine yanasemaje.
 
Hivi nyie washika gobole mbona hamzungumzii tena habari za kuchukua League tittle, wakati nafasi bado mnayo? Mfano chelsea na Liver wakadroo mechi moja moja na wakapoteza mechi tatu tatu halafu upande wa pili Man city apoteze mechi zote nne, halafu arsenal akashnda mechi zote nne si tayari mnatangaza ubingwa!!? Hahahaha Asenane bana inamana hamuamini kwamba sometym dreams comes true?
 
Tulia dawa ikuingie
 
Sina matatizo na Wenger, as a matter of fact I admire his philosophy ya kukuza vipaji huku akiwa na tight budget. Angalia makocha kama akina Diego Simeone, Arsene Wenger ama hata Brendan Rogers. Hawa ndio makocha wa ukweli in a sense that timu zao ni bora na they are performing at the highest level ukizingatia vilabu vyao havina uwezo wa kuvunja banks.
Wengine watu kama akina Pelegrini na Maurinho ni watu wa shortcuts tuu na hununua ubingwa kwa pesa

mkuu huwa naheshimu sana mchango wako katika jukwaa hili ila naomba kama hujasoma, soma historia za Mourihno na Pelegrini halafu urudi hapa kufuta kauli yako, ina maana BR au Diego wa Atletico msimu ujao akachukuliwa na timu kama Man city na kupewa bajeti kubwa ya kufanya usajili utawasema kuwa wanatafuta shortcuts..?
Mourihno ameshafundisha timu zenye bajeti ndogo na akashinda vikombe,Pelegrini naye ukicheki hajatokea timu yenye bajeti kubwa..,kila club ina philosopy yake na kila mmiliki wa club huwa ana ambitions zake,Huwezi kumdharau kocha eti kwa kuwa anafundisha club inayonunua mastaa sana
 
njoo na fact,sio kuagiza watu watafute rekodi,timu gani aliyofundisha mourinho yenye wachezaji wa kawaida?,alafu lazima ukumbuke suala la muda kwani wakati unabadilika ktk soka,2000 mpk 2010 kuna mabadiliko makubwa ktk soka
 
Lets start with Porto sir!
 
njoo na fact,sio kuagiza watu watafute rekodi,timu gani aliyofundisha mourinho yenye wachezaji wa kawaida?,alafu lazima ukumbuke suala la muda kwani wakati unabadilika ktk soka,2000 mpk 2010 kuna mabadiliko makubwa ktk soka

Porto Fc chini ya Mourihno ilikuwa na Bajeti ndogo ,underdogs walioshinda CHAMPIONS LEAGUE ...
Unaweza kuwa humkubali Mourihno ila huwezi kuondoa ukweli kuwa ni Kocha mzuri sana na amepata mafanikioa akiwa na Club zenye Bajeti ndogo na zile zenye bajeti kubwa....
 
Hivi nyie washika gobole mbona hamzungumzii tena habari za kuchukua League tittle, wakati nafasi bado mnayo? Mfano chelsea na Liver wakadroo mechi moja moja na wakapoteza mechi tatu tatu halafu upande wa pili Man city apoteze mechi zote nne, halafu arsenal akashnda mechi zote nne si tayari mnatangaza ubingwa!!? Hahahaha Asenane bana inamana hamuamini kwamba sometym dreams comes true?

We are not living on dreams but Reality....
 
vipi kuhusu the chosen one yeye atacheka!? Au ndio ataendelea kuthibitisha kuwa yeye ni Football Genius.

Kama Wenger ataendelea kuwepo hata ule ubingwa wenu mlioutetea kwa miaka 10 mtaanza kuukosa
 
Porto Fc chini ya Mourihno ilikuwa na Bajeti ndogo ,underdogs walioshinda CHAMPIONS LEAGUE ...
Unaweza kuwa humkubali Mourihno ila huwezi kuondoa ukweli kuwa ni Kocha mzuri sana na amepata mafanikioa akiwa na Club zenye Bajeti ndogo na zile zenye bajeti kubwa....

ila kumbuka wakti nao,kwani kipindi kile pesa bado haijachanganya kuharibu soka kama ilivyo sasa mpk linalalamikiwa na kina wenger,kipindi kile mchezaji kama rooney alipatikamma kwa bei ya kawaida tu
 
Porto Fc chini ya Mourihno ilikuwa na Bajeti ndogo ,underdogs walioshinda CHAMPIONS LEAGUE ...
Unaweza kuwa humkubali Mourihno ila huwezi kuondoa ukweli kuwa ni Kocha mzuri sana na amepata mafanikioa akiwa na Club zenye Bajeti ndogo na zile zenye bajeti kubwa....

ila kumbuka wakti nao,kwani kipindi kile pesa bado haijachanganya kuharibu soka kama ilivyo sasa mpk linalalamikiwa na kina wenger,kipindi kile mchezaji kama rooney alipatikamma kwa bei ya kawaida tu,kifupi kpnd kile mashugadady yalikuwa bado hayajaanza kuchukua timu
 
swali lako:
njoo na fact,sio kuagiza watu watafute
rekodi,timu gani aliyofundisha mourinho
yenye wachezaji wa kawaida?
jibu :
FC Porto
 
mkuu huwa naheshimu sana mchango wako katika jukwaa hili ila naomba kama hujasoma, soma historia za Mourihno na Pelegrini halafu urudi hapa kufuta kauli yako, ina maana BR au Diego wa Atletico msimu ujao akachukuliwa na timu kama Man city na kupewa bajeti kubwa ya kufanya usajili utawasema kuwa wanatafuta shortcuts..?
Mourihno ameshafundisha timu zenye bajeti ndogo na akashinda vikombe,Pelegrini naye ukicheki hajatokea timu yenye bajeti kubwa..,kila club ina philosopy yake na kila mmiliki wa club huwa ana ambitions zake,Huwezi kumdharau kocha eti kwa kuwa anafundisha club inayonunua mastaa sana
Unapokuwa na strikers kama Ba na Torres timu moja kisha unalalamika hawafungi magoli wakati wewe ni kucha wa ku-defend na formation yako si ya ushambuliaji bali kuvizia kushambulia unategemea nini?
Ameshakurupuka na kusema anawataka Radamel Falcao, Diego Costa na Cavani.............kocha mzuri kama Wenger ama Simeone angeweza ku-work na Toress na Demba Ba na angewabadilisha kuwa deadly striking partnership, na sio kuwa-dis kwenye media kama huyu bwana mkubwa.
Costa akienda Chelsea basi kipaji kimekufa! Mark my words
 
Back
Top Bottom