Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Giroudii gooo laaa anakosakosa bao la wazi kabisa kabaki na kipa peke yake. Duu hatari sana.
 
Na sisi huku leo tunaua mtu;
Da Gea, Jones, Smalling, Evance, Buttner, Carrick, Nani, Mata, Kagawa, Fletcher, Rooney.

Sub: Lindergaad, Giggs, Valencia, Fellaini, Januzaj, Hernandez, Welbeck
 
Na sisi huku leo tunaua mtu;
Da Gea, Jones, Smalling, Evance, Buttner, Carrick, Nani, Mata, Kagawa, Fletcher, Rooney.

Sub: Lindergaad, Giggs, Valencia, Fellaini, Januzaj, Hernandez, Welbeck

Hahaaa oyooo! Ni 12 kamili jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki.
 
Hul city wamezidiwa sana kuanzia nguvu, mbinu hadi mpangomkakati, wanakoswakoswa magoli mengi sana. Dk ni ya 70 sasa
 
Chambelain ndani anatoka Giroud dakika ni ya 73 kwenda ya 74, bao ni 3 kwa bila. Arsenal wanaongoza
 
Kama Wenger ataendelea kuwepo hata ule ubingwa wenu mlioutetea kwa miaka 10 mtaanza kuukosa

Na nyie Moyes akiendelea kuwa manager UCL mtaisikia katika bomba maana ni mid-table (Eufa League) manager hana uwezo hata wa fourth spot trophy. BTW nawatakia ushindi leo, ili tukeep gap vs Everton. Msijifungishe tu, Navyojua mlivyo na usongo wa kutuona tuna fail kukwalifai
 
Kwani leo si FA final jamani au vipi?na kinachogombewa hapo si kombe au nini?ndiyo ndoo niliyomaanisha c'umoooon gunners
Mkuu unafanya wenzako watamani usingeandika hayo maneno juu hehehehe hata jela za ukonga wanajua game za mpira zimefikiaje mkuu Leo sio FA cup!
 
Duh hatupati penati hata tukivunjwa ndani ya 18
Penalt ile sababu ingekuwa nje ni foul ukiwapa timu nafasi ikavunjika siunarudi ile sehemu ya foul? Wengine urefa tunaogopa kurukiwa mbili!
 
Back
Top Bottom