Mlikimbia?...rudini kwenye uzi wenu podolski kawasawazishia.
Niseme tu ukweli, mechi zilizobaki za BPL ambazo sisi washika bunduki tutacheza sitaziangalia. Nitasubiri tu matokeo!!!
Still he has to go..
Pole sana mkuu kwa kichapo. Nafikiri kuna vitu 2 hapa vya kujiuliza:
1. Chelsea wana rekodi bora zaidi dhidi ya top 4 team
2. Arsenal rekodi yao dhidi ya top 4 sio nzuri.
Tafakari
Prof haendi kokote ataamua mwenyewe baada ya musimu kuisha wala hashituki, nyinyi pigeni ukelele tu Bodi pamoja na wenye timu bado wanamuhitaji .... ... ... .. ngawira inayoingia inawapagawisha media pamoja na mafioso wasiolala. In Arsene we trust.