Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

#SPECIALISTS are full of prima donnas, NO FIGHT, NO COURAGE, NO LEADERSHP, NO HEART, NO SOUL......WHAT A BUNCH OF LOSERS, ....sorry, a BUNCH OF FAILURES.
 
Arsenali....Arsenali...

In Arsene We Trust????....

Hongereneni jirani zangu Chelsea kwa ushindi huu mnono ambao mmestahili kuupata....The best team won....

Tatizo mzee wetu Wenger hajifunzi....Keshazoea vichapo...Ni aibu kwa timu inayojiona inagombea Ubingwa kufungwa goli 6-0....

Chelsea mshindwe wenyewe kuchukua Ubingwa sasa....Ila muwe waangalifu....Man City wana viporo vingi
 
Sawasawa, sidhani kama hata huwa anaangalia hawa Chelski tactics zao zikoje, au labda ndo "you can't teach an old dog new tricks".
Inawezekana nae kashakua babu bana, hiivi vichapo vya magoli sita tano nne tumechoka.
Hajasaini mkataba, labda nae keshaona muda wake umefika, tatizo tunapewa false hopes kwenye vikombe vyote, halafu kimoja baada ya kimoja tanatolewa, kila msimu...
Kichwa kinauma bana..
 
Kama Arsenal watachukua ubingwa wataweka rekodi mpya. Hakuna bingwa aliyewahi kufungwa 6x2 na 5x1 (magoli 17 kwa mechi tatu) kwa msimu aliochukua ubingwa.
 
Sawasawa, sidhani kama hata huwa anaangalia hawa Chelski tactics zao zikoje, au labda ndo "you can't teach an old dog new tricks".
Inawezekana nae kashakua babu bana, hiivi vichapo vya magoli sita tano nne tumechoka.
Hajasaini mkataba, labda nae keshaona muda wake umefika, tatizo tunapewa false hopes kwenye vikombe vyote, halafu kimoja baada ya kimoja tanatolewa, kila msimu...
Kichwa kinauma bana..

Pole sana mkuu kwa kichapo. Nafikiri kuna vitu 2 hapa vya kujiuliza:
1. Chelsea wana rekodi bora zaidi dhidi ya top 4 team
2. Arsenal rekodi yao dhidi ya top 4 sio nzuri.
Tafakari
 
Hivi arsenal msimu huu mkimaliza nafasi ya nne kama kawaida yenu mtashangilia???
 
Man city 6 points taken
Man U 4 points taken
Arsenal 4 points taken dah
 
Kweli itamake headlines kesho,kupigwa goli sita si mchezo.
Bwawa limeingia ruba hilo.

"Nlikuwepo":bolt:

Headline? Kwani hawa si washazoea kupigwa goli za kutosha?! Ingekuwa United kapigwa goli 6, kweli hapo ungeona headlines kesho. United hata akifungwa goli 1 na WBA, hiyo tayari ni headline maker; lakini si gooners. Kwani siku ile walipopigwa goli 8 kwa 2 na United headline maker ilikuwa ni ushindi wa United au kipigo cha gooners?

Tafakari.

#WashazoeaKupigwaGoliZaKutosha
 
Back
Top Bottom