Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ok bhana ngija nishuku juu ya huu mti. Hongera all fans wa Gunners! ! Usiku mwema

pole sana mkuu natumai huko juu ya mti Mbu walipata Chakula cha kutosha na nadhani ndio sababu Mbu wa JF hajaonekana.
But all in all hongera na kwako pia better something than nothing.
#COYG .
 
Ahsanteni sana Arsenal pamoja na chelsea kwa hisani mliyotufanyia leo hii sisi liverpool.Nimeamini kweli kuwa udugu si kufanana bali ni kufaana.
Tunawaahidi kuwa kesho hatutowaangusha kwa kumpiga tottenham goli 3-2.
Together we can.Shukrani nyingi kwa Terry na Flamini.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Kuuuuuumbe wewe ni liverfool!!!!!!!!!!
 
Ahsanteni sana Arsenal pamoja na chelsea kwa hisani mliyotufanyia leo hii sisi liverpool.Nimeamini kweli kuwa udugu si kufanana bali ni kufaana.
Tunawaahidi kuwa kesho hatutowaangusha kwa kumpiga tottenham goli 3-2.
Together we can.Shukrani nyingi kwa Terry na Flamini.

"Nlikuwepo":bolt:

CC: Ntuzu and Mentor
 
Last edited by a moderator:
article-2592203-1CAC611600000578-625_634x421.jpg

On target: The unlikely source of Mathieu Flamini
popped up to score an important equaliser for Arsenal

article-2592203-1CAC5C3A00000578-4_634x377.jpg

Vital: He turned in Lukas Podolski's cross midway
through the second half to make it 1-1

article-2592203-1CAC5FAB00000578-277_634x402.jpg

Emotion: The point may be crucial to Arsenal's
 
haya march hio imekwisha.....

stoke city 1-0 arsenal
spurs 0-1 arsenal
chelsea 6-0 arsenal
arsenal 2-2 swansea
arsenal 1-1 man city

only one win from 5 EPL games....5pts out of 15pts....hardly championship form
jan 1,feb 2,march 3,april 4,may ???
 
Habari zenu ndugu zangu Gunners na pia wale ''voyeurs'' ambao hawawezi kukaa kwenye nyumba zao bila kuchungulia kwenye nyumba yetu.

Ndugu zangu Gunners, keep the faith and spirit. we are still in the mix. We are still up there.

Mwaka huu pia English premiership kama kawaida yake haina ''wasoma nyota'' za ushindi. Huu ndiyo uzuri wa Football league za England. Kila match inapewa dakika 90 kupata mshindi. Leo unatutundika goli sita nil, kesho unaenda kwenye timu inayopambana ili isishuke daraja inakudungua na kuchukua point zote tatu.

Point moja siyo mbaya ukilinganisha na hali halisi ya timu yetu kuhusiana na manpower.

The season isn't over by a long way and anything can happen.

Tukutane tena Goodison Park, Jumapili, 6 April. Majira ya saa 13:30 GMT.

Once a Gunner, Always a Gunner.

Huyu mliberari G huwa anatuboa sana mkuu, mistakes zote ye anachekacheka tu..damn
Mkuu Sizinga nimeipenda point yako lakini minus mliberari katika maana ya neno mliberari kwa Watanzania wengi wanavyofahamu maana yake. Hata mimi ananiboa sana na hafai kabisa kuwa number one striker kwa timu yetu. Huyu alitakiwa awe ni second striker.

Mr. G siyo mliberari kama ninavyofahamu kwa nje.
 
Habari zenu ndugu zangu Gunners na pia wale ''voyeurs'' ambao hawawezi kukaa kwenye nyumba zao bila kuchungulia kwenye nyumba yetu.

Ndugu zangu Gunners, keep the faith and spirit. we are still in the mix. We are still up there.

Mwaka huu pia English premiership kama kawaida yake haina ''wasoma nyota'' za ushindi. Huu ndiyo uzuri wa Football league za England. Kila match inapewa dakika 90 kupata mshindi. Leo unatutundika goli sita nil, kesho unaenda kwenye timu inayopambana ili isishuke daraja inakudungua na kuchukua point zote tatu.

Point moja siyo mbaya ukilinganisha na hali halisi ya timu yetu kuhusiana na manpower.

The season isn't over by a long way and anything can happen.

Tukutane tena Goodison Park, Jumapili, 6 April. Majira ya saa 13:30 GMT.

Once a Gunner, Always a Gunner.

naona game ya arsenal vs everton inaweza kuamua kama everton wataweza kushika namba nne au la. wakishinda leo halafu wakiwafunga arsenal next game 4th place is theirs to lose.
 
FT: FULHAM 1- 3 EVERTON

Everton wana Game mkononi, So game yenu next weekend, Itakuwa ni Booooooonge ya Game..
 
Wacha1 siku hizi kazini umerudi tena? Au umepanda computer nyengine uan work from home naona umepanda tena kuweka picha tukumbuke na sie kuturushia nimekuja kumsalimia Mbu Mwambie awape Everton Malaria sababu wanakuja mbio.
 
Mkuu Sizinga nimeipenda point yako lakini minus mliberari katika maana ya neno mliberari kwa Watanzania wengi wanavyofahamu maana yake. Hata mimi ananiboa sana na hafai kabisa kuwa number one striker kwa timu yetu. Huyu alitakiwa awe ni second striker.

Mr. G siyo mliberari kama ninavyofahamu kwa nje.

Mkuu heshima kwako. Katika wachezaji wa Arsenal ni G pekee ndo ana kashfa ya uliberari...anapmba sana na picha zake katika magazeti ya maGay. Anyway ingawa amesaidia sana kutufikisha hapa tulipo lakini huwa anajizuuka sana na kujisahau kwenye mahukumu yake ya kupachika mabao. Pia ametucost...
I cant see anyhope inEPL, Tukomae kwa FA tu tuone how we can end this drought.
 
Back
Top Bottom