Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kweli arsenal imekwisha unatoa giroud unaingiza sanogo!!!!!!
 
I hate u...shindwa kabisa, game hii tukishinda tutakuwa real contender kule juu
Sahau hicho kitu ndugu yangu...kwa timu yetu hii ninayoijuwa mimi? Mkuu tukishinda game hii Chelsea anaweza
kuchukuwa ubingwa. Mwenzio nikikumbuka zile goli 6 walizotupiga Chelsea kwa uonevu na red card juu kiukweli
naumia sana. Acha tu Man City washinde hii game
 
Hahaaaa I get ur point ingawa mi sitaki tufingwe bora twende sare tu
 
Hahaaaa I get ur point ingawa mi sitaki tufingwe bora twende sare tu
Ahsante kama umenielewa...yaani Mourinio alivyo na mdomo imagine ndiyo anachukuwa ubingwa huu itakuwaje?
Atatukana timu zote za UK na makocha wake wote...tena sana sana atamtukana sana Wenger kuliko kocha yeyote.

Bora na mpira wenyewe umeisha...najua kwa matokeo haya Mourinio atafurahi
 
mkuu ulijuaje?
Naijua Chelsea nje ndani...sita sahau siku Didier Drogba aliposema mbele ya waandishi wa habari kuwa anaweza kuifunga Arsenal hata akiwa ametoka kwenye kuamka au hata kama ajafanya mazoezi kwa miezi 2
 
Ok bhana ngija nishuku juu ya huu mti. Hongera all fans wa Gunners! ! Usiku mwema
 
Back
Top Bottom