Ally saelehe
Member
- Jan 13, 2014
- 36
- 1
ushindi tu
Game ya Everton ndo itaamua nafasi yetu...!! Lakini siiweki hofu kwani Everton hawaniumizi kichwa sana.
Dah, huyu mzee simuamini kabisa!!!!Prof anaongoza kikosi cha ushindi .... ... Colney
Kurudi Aaron Ramsey ni faraja kubwa saana.
Bring the Toffies.
COYG.
Hao mbona kichapo ni lazima?
Nakuhakikishia ubingwa ni wetu msimu huu!!!!!
all the best.....mkipoteza hio 4th place itakuwa mashakani.
Mkuu umepita pande za huku Leo!
Karibu sn Mkuu! Uwe unapita na kwenye Uzi wetu kule Wa Chelsea mabingwa Wa kwanza Wa UCL ktk jiji la London!
duh kumbe hilo jiji na umaarufu wote UCL ya kwanza imetua 2012,ama kweli mpira uko NORTHERN ENGLAND.....the last three premier league titles were won by manchester clubs.....probably the fourth is coming to manchester....
Mkuu umepita pande za huku Leo!
Karibu sn Mkuu! Uwe unapita na kwenye Uzi wetu kule Wa Chelsea mabingwa Wa kwanza Wa UCL ktk jiji la London!
Teh Teh Teh Teh Teh
Hii timu ilikua inataka Ubingwa! Sasaivi wanagombania nafasi ya 4 ya kucheza UEFA next season!
Teh Teh Teh Teh
Ligi ya Mwaka huu raha sn!
Mkuu huku huwa napita sana tu huenda tunapishana
Huko kwa Chelsea nitakwenda!
Subiri ligi ifikie tamati kama utasema tena haya maneno!