Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

naona game ya arsenal vs everton inaweza kuamua kama everton wataweza kushika namba nne au la. wakishinda leo halafu wakiwafunga arsenal next game 4th place is theirs to lose.
Theoretically, yes. Practically, not so sure.

Kama nilivyoeleza hapo mwanzo, dakika 90 katika league za England kwenye football ndiye mwamuzi.
 
10154268_994483707258512_773669833_n.jpg
 
ARSENAL...FIXTURES

WESTHAM (H)
HULL CITY (A)
WEST BROM (H)
NORWICH(A)

EVERTON FIXTURES

SUNDERLAND (A)
CRYSTAL PALACE (H)
MAN UTD (H)
SOUTHAMPTON (A)
MANCHESTER CITY (H)
HULL CITY (A)

Hii ni baada ya Kukutana Jumamosi ijayo Everton ubavu hawana hapa...Fixture yao imekaba watavutana na Manure na kwa mara ya kwanza katika Historia Everton na Spurs watamaliza juu ya Manure

We can even Finish 1st or 2nd if we will take maximum points....🙂
 
Acha kujidanganya mwana mpotevu mmeshazoea kabati lenu kukaa bila vkombe,epl ya man City,Liverpool,chels na fa ya wigan na fa ipo fainal
 
Siku za nyuma nilikuwa namtetea sana Giroud. Ila sasa hivi ananikera kupitiliza. Naomba radhi sana kwa kuamini Giroud angekua striker wa kutisha.. tena naomba radhi zaidi kwa Rejao
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu mimi pia nimeanza kumkatia tamaa japo nilikuwa naona ki2 ndani yake bt hakuna jipya, useless
 
Mpeni Muda kwa sasa timu nzima imechoka tu sio yeye peke yake hv Ozil yupo kweli
 
ARSENAL...FIXTURES

WESTHAM (H)
HULL CITY (A)
WEST BROM (H)
NORWICH(A)

EVERTON FIXTURES

SUNDERLAND (A)
CRYSTAL PALACE (H)
MAN UTD (H)
SOUTHAMPTON (A)
MANCHESTER CITY (H)
HULL CITY (A)

Hii ni baada ya Kukutana Jumamosi ijayo Everton ubavu hawana hapa...Fixture yao imekaba watavutana na Manure na kwa mara ya kwanza katika Historia Everton na Spurs watamaliza juu ya Manure

We can even Finish 1st or 2nd if we will take maximum points....🙂

Welcome back jukwaani
 
Game ya Everton ndo itaamua nafasi yetu...!! Lakini siiweki hofu kwani Everton hawaniumizi kichwa sana.
 
Game ya Everton ndo itaamua nafasi yetu...!! Lakini siiweki hofu kwani Everton hawaniumizi kichwa sana.


Teh Teh Teh Teh

Mnagombania nafasi ya 4?!!! Baada ya kuongiza ligi kwa nusu msimu na mkawa mnasema kabati lazima ipendeze!!! Teh Teh Teh! Kwamba Mwaka huu angalau mtainua ndoo! Teh Teh Teh kisema jamaa Yangu Kitoabu labda ndoo ya Maji! Teh Teh Teh! Kweli maneno ya Mkuu Kitoabu yanatimia! Sasaivi mnawafikiria Everton!?!?!?! Duh! Mmekwisha nyie!
 
Last edited by a moderator:
Naona vijana (Ramsey, Nacho) wamerudi katika full training na wanaweza kucheza jpili vs Everton. Pia kina Ozil, Koscienly, Diaby hawapo mbali kurudi katika full training. Sijui kama watatusaidia sana kwa kipindi hiki cha lala salama katika ligi lakini najua watatusaidia kwa kiasi fulani hasa katika FA cup endapo wote watakuwa fit hadi mwisho.
 
gun__1383555312_ramsey_liverpool1.jpg



On his way back .... .... ...


''Arsène Wenger has revealed the latest team news ahead of Sunday's Premier League clash against Everton:
on Rambo .. ... .… Aaron and Monreal are back training with the squad, so that is good news. Hopefully they will be available for Sunday. Diaby is back on the pitches, so that is good news.''
 
[SIZE=4 said:
mfarisayo[/SIZE];9141872]Mpeni Muda kwa sasa timu nzima imechoka tu sio yeye peke yake hv Ozil yupo kweli

Nachikia hamchikiki khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee umekuwa mpole kama ngamia khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Kaache hako Ka-
Belo kapayuke.
 

nachikia hamchikiki khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee umekuwa mpole kama ngamia khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kaache hako ka-
belo kapayuke.

we mwenyewe kwisha habari yako, huna lolote
 
Back
Top Bottom