Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tukiwabugiza goli nyingi hawajamaa itakuwa full shangwe yaani 1000th match with a Big win...sipatii picha magazeti ya UK, itamake head line wiki nzima.

Kabisa kabisa, sio UK tu hata Asia, America na Africa, wengi wanategemea Chelski kutufunga, sasa tukiwapa makonzi ya kutosha kwao mbona PE itanukia mkuu...
 
Hili jukwaa limevamiwa na waota ndoto za mchanaaa....!!! Kweli bangi mbaya....arse8 mna mchezaji gani mwenye uwezo wa kumfunga Chelsea? Mbona mwajitafutia maumivu tu jioni ilhali mwajua hamna uwezo huo na expert wenu in failure!!!!
 
Arsenal inabidi mtulize mpira chini mpunguze mpira wa kasi so far mmeshindwa kumudu counter za chelsea so inabidi muwe makini sana
 
Jamaa mmoja alikuwa amekaa kiti cha mbele kabisa hapa tunapoangalizia mpira kavaa jezi nyekundu imeandikwa fly emirates naona anatoka nje kainamisha kichwa.nadhani kajua leo kuna tano hapa.
 
Chelsea 3 Arsenal 0

Dakika ya 16 Hazard anaipa Chelsea goli la 3
 
Arsenal mnaboaaaaaaaa,watu tumeacha shughuli zetu kuangalia tulijua itakuwa big match matokeo yake mechi imeisha dk ya 17.daaaammmn!!!
 
Back
Top Bottom