Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mie namuonea huruma watu wawili Torres mpaka sasa hajafunga na wa pili Refaaaa vipi Gibbs anamfananisha na Ox Kama wachina??? Sijui atajieleza vipi asionekane mbaguzi?
 
Nimekaa mahala hapa naangalia mpira, wenzangu pia hawashangilii maholi ya Chelsea....

Nahisi miguu nao imewaisha nguvu,
🙂


#MosKwito !

kesho sijui mtaweka wapi sura zaenu.,tatizo kinachowaponza eti mnajifanya mnashambulia na nyie so nyuma kunafunguka nahisi bora mpk basi tu kama sio treni walau zinaweza kuishia hapo hapo sita
 
Duh, hii ni timu yangu Arsenal au nyingine? Kweli Morigno hatumuwezi!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Chelsea kiboko Yao! Chelsea kiboko Yao Chelsea kiboko Yao Chelsea kiboko Yao
 
kesho sijui mtaweka wapi sura zaenu.,tatizo kinachowaponza eti mnajifanya mnashambulia na nyie so nyuma kunafunguka nahisi bora mpk basi tu kama sio treni walau zinaweza kuishia hapo hapo sita


Aaahhh, kwangu mimi it's only a game, sio ibada hii....




#MosKwito !
 
Tukiwabugiza goli nyingi hawajamaa itakuwa full shangwe yaani 1000th match with a Big win...sipatii picha magazeti ya UK, itamake head line wiki nzima.

Kweli itamake headlines kesho,kupigwa goli sita si mchezo.
Bwawa limeingia ruba hilo.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Chelsea ...hurumia hasenane.

Wafungeni nyingi ila msivunje record ya man united.
 
Kweli itamake headlines kesho,kupigwa goli sita si mchezo.
Bwawa limeingia ruba hilo.

"Nlikuwepo":bolt:
Mkuu hawa Arsenal wameniudhi coz wamesababisha Chelsea atusogelee Liverpool kwa goal difference...!
 
dah afadhali mpira umeisha. nilikuwa nadhani mourinho atavunja rekodi yetu ya kumpiga nane huyu.
 
Back
Top Bottom