Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

haka katimu kanabokolewa sana aisee failure.jpg
 
Poleni sana dah, babu Wenger atazidi tu kuzeeka. Mimi Chelsea nimekuja kuwapa pole tu.
 
Ginehe Ntuzu
Kwanza nakupa hongera kwa kutupatia kipigo cha kimasikini.

This was serious spanking!. Sitaki kuanza analysis ya game even though spankings aren't one off any more.

Kufungwa magoli 5-0, 6-3, 6-0 kwenye away matches hakuwezi kukaachwa kuelea juu juu. Something somewhere along the management line is serious wrong.



Once a Gunner, Always a Gunner.

Ndugu ukichunguza Vizuri kwenye TOP 7 Tumemfunga Liver Home na Spurs home and away, wengine wote tumetupiwa Ugenini na nyumbani droo.

Tuombe Mungu tupate Droo mamcity home na hao watoto walio bakia tuwafunge including Everton.

Tatizo tunaharaka sana mechi za ugenini tunaanza kwa kasi with High line of defending ha hili linatukost sana, Imetokea kwa City, Liver na chelsea leo.


Hawa wakubwa tunatakiwa tuwaeshimu kwa kukaa nyuma na kuhakikisha defensi tupo poa ndio tuanze kushambulia tena kwa kustukiza.

Inshort Wenger is too predictabla now adays.
 
Last edited by a moderator:
Ginehe Ntuzu
Kwanza nakupa hongera kwa kutupatia kipigo cha kimasikini.

This was serious spanking!. Sitaki kuanza analysis ya game even though spankings aren't one off any more.

Kufungwa magoli 5-0, 6-3, 6-0 kwenye away matches hakuwezi kukaachwa kuelea juu juu. Something somewhere along the management line is serious wrong.

Hata game na majirani zetu (The Lilywhites) tuliponea chupu chupu kwa kutokuondoka na sare au kupoteza.

Huwezi kuweka Oxlade-Chamberlain, Cazorla na Arteta kwenye game yenye wachezaji wazuri katika counter attack ukategemea wanaweza kuzinduka kwa haraka pale timu inapopoteza mpira.

Acha niisahau hii game haraka hasa ikichukuliwa leo ni weekend. This is football!.

Once a Gunner, Always a Gunner.


Nashukuru Mkuu Kwa kukubali Kua kuko na shida ktk uongozi!

Lkn Mara nyingi nimekua nikiroroma hapa na kuwambieni ukweli Lkn hua mnabisha! Sasa nazani mmeanza kujionea wenyewe!
 
Last edited by a moderator:
lets wait and see

hamna timu ya kusimama na liverpool

in actual fact hakuna timu EPL ya kusimama na liverpool


December mlikua moto sn mpk mkaanza na nyie kutangaza kutwaa ubingwa msimu huu!

Nataka nikwambie sasa! Ili niwe bingwa lazima zile timu tunazogombania nao ubingwa nizifunge!

Nimechukua point 6 Kwa Man City

Point 4 Kwa Arsenal

Point 4 Kwa Man Utd

Point 4 Kwa Spurs

Liverpool point 3.

Adui yng mkubwa Kwa sasa na nguvu nyingi naelekeza Kwa kila game na kwako wewe Liverpool

Na siku nikitua hapo Anfield hao kina Suarez, Sturidge, Cotinho, Stearling, Aleyn, Lucas yani huto waona kabisa uwanjani! Ulikuja kwangu darajani December unakumbuka nilivyokupiga? Na uikumbuke game Yangu ya Man City nilivyompiga!
 
.....ahhh bana, yani hukumuona Balantanda, Sizinga, pierrefm et al humu?...

Wengine wanachambua Rasimu ya Katiba kwanza, mustakbali wa taifa kwanza,....

TogetherWeStand!!!


#MosKwito !

Pamoko mkuu....always Gunners

Jamani leo simu ina chaji full... Sizinga upo????! Khe khe khe khe khe khe Wacha1
Na mimi natoa pole maalumu Kwa Sizinga Aache kuongea sn!
Ata hapa jamvini akina Sizinga watakua na adabu!
Rafiki zng Sizinga utafiti mko wapi?

Jamani Mimi ni bingwa tu msimu huu!

I admit a very BAD DAY today!!
 
Pamoko mkuu....always Gunners






I admit a very BAD DAY today!!



Pole sn Mkuu!

Leo niko hapa kwaajili ya kutoa pole tu!

Maana akili yng sasaivi imeahamia kuandaa mkakati Wa kuinyonga Liverpool pale Anfield Maana kazi na nyie nimeshamaliza!

Poleni sn Arsenal Fans!
 
Pole sn Mkuu!

Leo niko hapa kwaajili ya kutoa pole tu!

Maana akili yng sasaivi imeahamia kuandaa mkakati Wa kuinyonga Liverpool pale Anfield Maana kazi na nyie nimeshamaliza!

Poleni sn Arsenal Fans!

Hongera mkuu let me take a break then....tutakutana somewhere again next season!! Ila msijisahau sana, we gonna Bounce Back
 
DullyJr pole sn mkuu!

Naona sura yako haijaonekana kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Hongera mkuu let me take a break then....tutakutana somewhere again next season!! Ila msijisahau sana, we gonna Bounce Back


Asante Mkuu!

Bouncing back mtaifanya Kwa City na Everton na hao mnaogombania top four Lkn sio Mimi bingwa! Nimeshamaliza biashara na wewe kz iliyo mbele yng ni kuipiga Liverpool pale Anfield tu!

Let's see next season dude!
 
lets wait and see

hamna timu ya kusimama na liverpool

in actual fact hakuna timu EPL ya kusimama na liverpool

Dah dah dah Janjaweed hebu nikumbushe first leg yetu na Liver ilikuwaje? Mbona kutafuta kujiaibisha mwenyewe mkuu?

Si ninyi mliosema Chelsea haina wachezaji wa kumfunga Arsenal leo? Si ninyi mliosema Chelsea haina wachezaji wa kumfunga Man city....haya bana vyenu vidole kubofya...sie mpira tu...!!!
 
Last edited by a moderator:
not only You mkuu hii ni kwa Gunners wote kitu cha msingi tusonge mbele and don't look back.


Pole sn Mkuu!

Biashara na nyie nimemaliza namfikiria Liverpool! Nyie Arsenal sio kitisho tena kwangu ktk kuwania mbio za ubingwa!
 
Back
Top Bottom