Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu Endelea Kujidanganya, Top 4 Kutoka Pale Sio Rahisi Unavyofikiria.
Ukifika Pale Lazima Unyolewe



Ata Sizinga na utafiti walisema wanakuja kuninyonga Lkn mpk saizi wamekua wadogo!

ndetichia aliniambia nikifika Etihad ntanyongwa Lkn kilochotokea unakifahamu!

Siku nikitua kwake Liverpool ntakua na kz moja tu! Kumpiga hapo hapo
Chelsea 5 arsenal 0
 
Last edited by a moderator:
Arsenal licha ya kuwa na magolikipa wawili lakini bado mnanyeshewa mvua si bora mbaki na kipa mmoja anayepangua mashuti kwa uhodari kabisa jembe lenu chamberlin asa iv mpigwa la 5!
 
Arsenal licha ya kuwa na magolikipa wawili lakini bado mnanyeshewa mvua si bora mbaki na kipa mmoja anayepangua mashuti kwa uhodari kabisa jembe lenu chamberlin asa iv mpigwa la 5!


Comment of the day
 
Ile penati aliyopiga hazard kama golini angekuwapo chamberlin walahi chelsea wasingefunga chamberlin ni golikipa makini na mahiri kabisa!
 
Nyie arsenal daraja halivunjwi kwa binduki labda jarbuni baruti na fataki muda si mref mnapgwa la 7 et!!
 
Haya leo ni majanga, kipa na beki yake wako nje kabisa ya mchezo. Goli zinaweza kufika nane leo. Aibu iliyoje kwa Arsenal.

Tiba
 
Nimekaa mahala hapa naangalia mpira, wenzangu pia hawashangilii maholi ya Chelsea....

Nahisi miguu nao imewaisha nguvu,
🙂


#MosKwito !
 
Msijali mashabiki wa arsenal mourinho hawezi kuwapiga 8 kama sisi mwisho wake saba tu so msijali sana hamtofanyiwa humialtion.
 
Back
Top Bottom