Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Majanga mengne wenger anajitakia we game kama hii ngum uko ugenin unaweka kiungo mkabaj mmoja kiungo mwenyewe sio mkata umeme asilia, kwaninin hakumweka atleast flamin? Ye hamwoni mwenzake yupo home lakini kaweka wakata umeme wawili matic na luiz
 
Teh Teh Teh

Specialist in Failure!
 
Khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe....
 
Damage limitation for Arsenal, wanapaki basi kwa kuingiza mabeki. Kipindi cha pili kinaanza soon.
 
Chelsea Bingwa msimu huu.....Hili halina ubishi

Asante sn Kwa kauli yako hii! Kila siku nimekua nasema hapa na watu km akina Sizinga wananiona Mimi chizi!

Tumembakiza Liverpool tu! Siku tukifika kwakwe lazima tummyonge!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Endelea Kujidanganya, Top 4 Kutoka Pale Sio Rahisi Unavyofikiria.
Ukifika Pale Lazima Unyolewe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom