Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

pole mkuu maana nashindwa hata nikufariji vipi na ndio kwanza dk ya 30,leo mkikoswa saana mmepigwa tano yaani hapo mmeonewa huruma lol.! Ila komaeni mnaeza kupata hata moja.ila nahisi mnabidi mumwingize falmini aje awatulize akina matic pale kati.

Flamini anaweza kula red card ndio maana Mr Bean huwa hamwanzishi
 
Ox ni kipa mzuri kuliko Shenzi. hahahahahahaaaa
Come on you Blues, the proud of London.
 
pole mkuu maana nashindwa hata nikufariji vipi na ndio kwanza dk ya 30,leo mkikoswa saana mmepigwa tano yaani hapo mmeonewa huruma lol.! Ila komaeni mnaeza kupata hata moja.ila nahisi mnabidi mumwingize falmini aje awatulize akina matic pale kati.

.....ahhh, niliamini Arsene Wenger leo atakuja na jibu la Mourinho kwamba sio #SpecialistFailure ...

4 - nunge
Na ndio kwanza 1st half.

#MosKwito !
 
Dakika ya 41 Oscar anaipa Chelsea goli la 4 na arsenal 0
 
tuliwasifu loserfools waliwapiga hawa 5, lakini leo ni zaidi sio chini ya saba.
 
Gooooooooooooooooooooo!!!!!!!! !!! Oscar scores fourth goal for Chelsea. 41 min
Chelsea 4 Specialists 0
 
aaaaaaa tanesco nao.
au niwashabiki wa tim gongwa
 
da kwa kweli inabidi asenali tuaache uhafidhina, tumstaafishe tu le proffeseur
 
Back
Top Bottom