Arsenal mnaboaaaaaaaa,watu tumeacha shughuli zetu kuangalia tulijua itakuwa big match matokeo yake mechi imeisha dk ya 17.daaaammmn!!!
Nawaonea huruma kuanzia kuongoza Ligi na nina wasi wasi hata hiyo Big 4 mnaweza msimalize
#PoorArsenal
Dah huyu wenger giroud anampendea nini?? Si bora angemtoa yeye akamuacha podolski walau atasumbua na kupiga mashuti mbele kule.
mpira kadaka chamberlin red card kapigwa gibbs
atakuwa kabwatuka! Si unajua tena zile 'we msnge nini?'
Nipo rafiki sina ata lakusema hapa nilipo fans wa man u hawanipi ata mda wakuvuta pumzi
Pole Mkuu!
Chelsea we are the champion!
Wallahi bro,
Team yangu imeni disappoint sana
Leo, 12.45am kick offs tuna mkosi nazo kwa hawa Big four.
It's purely disgusting!!!
#MosKwito !