Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Na mpira umekwisha walau tumebahatika sare ya 2-2 ndani ya Emirates katika dakika za majeruhi vijana walikuwa wanaogopa umande!!! Kwa kweli condition ilikuwa ngumu kutandaza soka ile staili tunayotaka, vijana kama waliorudi vitani, kila mmoja majeruhi.
 
Game over..Arsenal 2 Everton 2..Pengo la Fabregas na Song limeonekana dhahiri leo..Abou Diaby kacheza vizuri sana kwa upande wa Arsenal leo
 
Just a reminder, mwaka jana mlianza kuwa wabovu nusu ya pili ya msimu....pengine ndio mmeanza ku-drop points sasa.
Hapana mkuu, half ya pili tulirudi stronger, kama utakumbuka Villa walikuwa wametuacha kwa pointi kadhaa na tulikuja kuwaovateki huku mwisho, tunategemea baadhi ya majeruhi wetu kuanza kurudi soon kwa hio tutazidi kuwa stronger.
 
...whatever the case, inaniuma sana kupoteza pointi mbili (Muhimu). Consistency na incosistency ni vitu viwili tofauti. Game hii ...tena uwanja wa nyumbani, tumechemka!
 
Mlikuwa strong mwishoni mwa ligi lakini kati ya December na January mlipoteza points. Anyway, nafikiri leo mmekosa zaidi Song maana Everton walikuwa wana-break sana through the middle na kama yule Vaughan angefanya kama Steven Pienaar ingekuwa balaa....that Pienaar's goal was a bit cheeky, wasn't it?
 
...whatever the case, inaniuma sana kupoteza pointi mbili (Muhimu). Consistency na incosistency ni vitu viwili tofauti. Game hii ...tena uwanja wa nyumbani, tumechemka!

Inabidi ushukuru kwa kupoteza mbili tu, Everton wamepata nafasi nzuri za kushinda lakini hawakuwa makini.
 
Just a reminder, mwaka jana mlianza kuwa wabovu nusu ya pili ya msimu....pengine ndio mmeanza ku-drop points sasa.

Hapana mkuu,si kweli..Mwaka jana raundi ya pili ndo tulianza kufanya vizuri ila tuliharibu sana raundi ya kwanza...Halafu,kwani nyie Chelsiki mwenendo wenu ukoje so far,maana nanyi pia mmepoteza pointi nyingi tu kwa sare na kufungwa,so usishangae sana sie kutoka sare leo,tena ya 2-2??😀😀
 
Sisi kwa mara nyingine tena tumekuwa na kipindi kigumu sana wakati huu wa December, naona inakuwa tabia sasa na we need to do something about it.
 
naona 2 points droped leo au ni one point gain kwa jinsi tulivyozidiwa? lol naona pengo la song limeoneka sio.kibaridi nacho sijui kimechangia naona speed ilikuwa hamna kabisa.tuangalie mbele tu na tuwaombee njaa maadui wetu .
 
Sisi kwa mara nyingine tena tumekuwa na kipindi kigumu sana wakati huu wa December, naona inakuwa tabia sasa na we need to something about it.

Kweli kabisa kamanda,December haikuwa nzuri kabisa kwenu,nimeangalia mwnenendo wenu kwa December mmhhhhhh

December 2009 SCORE TV ATT
2 Wed 20:00 LGCP A Blackburn Rovers L 3-3 (aet 4-3 on pens) 18,136
5 Sat 17:30 PREM A Manchester City L 2-1 ESPN 47,348
8 Tue 19:45 CPLG H Apoel Nicosia D 2-2 Sky 40,917
12 Sat 15:00 PREM H Everton D 3-3 CTV 41,579
16 Wed 19:45 PREM H Portsmouth W 2-1 CTV 40,137
20 Sun 16:00 PREM A West Ham United D 1-1 Sky 33,388
26 Sat 12:45 PREM A Birmingham City D 0-0 ESPN 28,958
28 Mon 15:00 PREM H Fulham W 2-1 CTV 41,805
 
naona 2 points droped leo au ni one point gain kwa jinsi tulivyozidiwa? lol naona pengo la song limeoneka sio.

Kabla ya mechi ilionekana ni 2 points lost lakini mwishowe nafikiri ilikuwa ni 1 point gain kwa mtazamo wangu naona hatukustahiki hata pointi, sijawahi kuona tukicheza ovyo kama leo kwa muda mrefu, hata mechi ya Burnley ama ile ya Sunderland naona zina afadhali, lakini tukumbuke playing condition wazee hapo uwanjani ilikuwa ni ngumu, na ukizingatia hakuna Song, Fabregas, RVP, Bendtner,Clichy etc, na akina Denilson na Gallas, Traore nao wamemaliza huku wakiwa wamepata knocks, tupo kwenye kipindi kigumu (fitness-wise) tunahitaji walau Cecs na Niklas warudi na tuongeze walau wachezaji wawili defender na striker haraka sana kama tunataka kuchalenji kweli. Almunia nae anaonekana amepitwa na muda, amezidi kuwa na maamuzi ya kubahatisha, sijui kwa nini Wenger bado ana imani nae.
 
Inabidi ushukuru kwa kupoteza mbili tu, Everton wamepata nafasi nzuri za kushinda lakini hawakuwa makini.

...Ze bluuz ndio mnaoshukuru mkiponea chupuchupu, Arsenal tuna viwango tofauti... 😀
 
...whatever the case, inaniuma sana kupoteza pointi mbili (Muhimu). Consistency na incosistency ni vitu viwili tofauti. Game hii ...tena uwanja wa nyumbani, tumechemka!

Tumechemka si utani watoto wote walionekana wanaogopa umande, pengine labda na hii ingehairishwa? Chelski naona wamepata advantage kutocheza kwenye wiki hii.
 
bila shaka umekula maneno yako mkuu!!!

sikiliza maneno ya bossi wenu haya hapa chini, halafu linganisha na nilichokisema mimi wakati gemu linaendelea.

Arsenal boss Arsene Wenger on the 2-2 draw with Everton: "It was close at times to being 3-1 but we managed to bring it back to 2-2 and I think that was down to our tremendous spirit that we were able to claim a point."
 
Lucky Arse!

Khe khe khe mbona Chelsick mlishidwa kuwafunga hao Evr pale darajani mkiwa na kikosi kamili cha wakongwe? Si unakumbuka matokeo 3 - 3 kukukumbusha tu. Ever ni timu nzuri sema condtion za leo sio nzuri kwa soka.

Just a reminder, mwaka jana mlianza kuwa wabovu nusu ya pili ya msimu....pengine ndio mmeanza ku-drop points sasa.

Nyie mlililia sana kombe mwezi November tukawaambia mambo bado sasa naona mmeanza kujirudi siku hizi. Ngebe kwishnei.
 
_47073709_nasribaines.jpg
 
Back
Top Bottom