January transfer:
In today's the Sun newspaper there were rumours that AW will go for Carlton Cole for the fee of around £9 millions. Carlton ni mchejazi mzuri lakini sifikirii kama atatufaa kwa muda huu kwa sababu nae ni majeruhi vilevile.
Kumbe Rich unajua bingwa ni kati ya ManU vs Chelsea
January transfer:
In today's the Sun newspaper there were rumours that AW will go for Carlton Cole for the fee of around £9 millions. Carlton ni mchejazi mzuri lakini sifikirii kama atatufaa kwa muda huu kwa sababu nae ni majeruhi vilevile.
Kuna habari Fran Merida anarudi Spain (A.Madrid)
Na mechi ya leo huenda ikaahirishwa kutegemea na hali ya snow itakavyokuwa. Mpaka sasa snow bado inamwagika ila uwanja wa Emirates una mitambo ya kisasa ya ku-warm up the pitch,tatizo labda kwenye transport kwa wapenzi. Tusubiri jioni FA watasema nini. Ila kama mechi hii itaahirishwa ni advantage kwetu kwani baadhi ya wachezaji wetu hasa Fabregas watarejea mechi inayofuata.
Arsenal v Bolton - MATCH POSTPONED
Despite making every effort to stage tonight's match against Bolton Wanderers, the sudden and unpredicted adverse change in weather conditions in the Highbury area has left us no choice but to postpone the fixture.
We apologise for any inconvenience this has caused and wish to state that this decision was not made lightly and supporters' safety and travel arrangements were major factors in our thinking.
The Club will announce the revised date for this match in due course and all tickets currently held will be valid for the rearranged fixture.
Richard ni kweli kwamba Cole ni mchezaji mzuri lakini ana kijihistoria cha injuries kitu ambacho sifikirii kama Wenger yupo tayari kuriski nae, historia ya majeruhi ya Carlton ni kwamba ana 5 injury records, binafsi ningependelea kumuona Edin Dzeko, permit haitosumbua kwa vile ni fully international, ila mwenyewe anataka kwenda Milan na fee £20 millions Wenger sio rahisi kutoa.Carlton Cole atafaa sana kuchezea Arsenal kwa sababu mbili kwanza, ni kwamba yeye ni muingereza kwahio hatahitaji kibali cha kufanya kazi na hivyo kuondoa usumbufu wa kumuombea kibali. Arsenal mwaka huu imewapoteza Alex Song na Emmanuel Ebue tu ambao wapo kwenye African Cup of Nations.
Mbili ni kwamba itamsaidia kupata namba kwenye timu ya Uingereza itakayocheza Afrika Kusini kwenye World Cup kwahio atacheza kwa usongo mkubwa na kusaidia kufunga magoli mengi.
Ila yote hayo yatategemea na majibu ya Ijumaa kama Nicklas Bendtner atakuwa ok kwenye fitness test.
Happy New Year
Nimerudi nilikwenda kijijiniGood to see you back, you disappeared after the Leeds game!! Did you get lost somewhere in the snow?!
Good to see you back, you disappeared after the Leeds game!! Did you get lost somewhere in the snow?!
Nimerudi nilikwenda kijijini
Yaani kufungwa goli moja na Leeds nikimbie?Nasikia Chelsick moto unawaka ndio maana siku hizi huonekani kule na Avatar yako ya kuazima.
Wacha uongo wewe magoli yalizidi na ni aibu.
Yaani kufungwa goli moja na Leeds nikimbie?
What`s up Arsenal fans. Arsenal ni timu nzuri inayocheza soka la kupendeza. Sio kama naongelea hili kwa luwa mimi ni fan wa Arsenal HAPANA off corse, ila hii ni kweli hata makocha wa timu kubwa pinzani wanalijua hilo.Kutopata mafanikio kwa muda mrefu licha kusakata soka safi hili ni tatizo ambalo liko nje ya mashabiki wa Arsenal hili lipo ndani ya uongozi na linafanyiwa kazi.Kwa hiyo mtu mwenye chuki ndiyo ambae anaongea mambo yasio na msingi wala ukweli. Arsenal ipo juu na moto wake unaonekana kwa hiyo kama sio mwaka huu kupata mafanikio mazuri basi mwakani tutajipanga vizuri zaidi.Angalia kwa sasa jinsi timu ilivyo na majeruhi wengi kwa hiyo usifikiri utapata matokeo mazuri ktk kila mechi kama ukiwa na majeruhi wengi ktk timu.
Kwa hiyo tusikatishwe tamaa kuwa ati ubingwa mwaka huu ni wa Chelsia au Man U, mtu ambae anaongea hivi si mshabiki wa ukweli na hajui kitu, angalia tofauti ya points kati ya timu moja hadi nyingine haswa zile timu zinazoshika nafasi ya juu ndio utapata jibu kuwa timu bingwa tutaijua mwezi wa tano, kwa sababu anytime timu yoyote inaweza ku-drop points na nyingine ikaja juu.
Forever The Gunners.
From:Sweatface Entertainment (Arsenal fan)
AW nae amezidi ubahili, huyu jamaa fee yake ni £4 million ni bargain kwa kweli but is he good enough? I doubt it, kama hata kwenye timu ya Ivory Cost hapati namba, ina maana yuko nyuma ya Drogba na Dindane etc ktk kuchaguliwa, huyu ni biashara ya baadae kwa sasa tunahitaji experience players kama Chamakh, Dzeko au hata Carlton Cole ama Babel.WENGER EYES NEW STRIKER
Arsenal in hunt for Lacina Traore
By Soccernet staff
Arsenal manager Arsene Wenger is considering a swoop for 6' 6" Ivory Coast striker Lacina Traore to bolster his injury-hit forward line.
GettyImages![]()
Lacina Traore: Teenage giant
Transfer plans hinge on Bendtner
Wenger is without Dutch ace Robin Van Persie and Danish forward Nicklas Bendtner and has all but admitted he is on the hunt for a target man in the January transfer window.
Traore fits the bill and the 19-year-old CFR Cluj striker has already spoken about a potential "dream move" to the Emirates Stadium.
Traore said: "It is sensational to hear Wenger is watching me. I could be a success in England. Even though I am still young, I have a lot of experience and a lot of ambition. Wherever I go it will be hard at first, but I'm sure I would settle in."
"It would be a dream for me to get to play on a team so great. I have a chance there because Arsene Wenger relies heavily on young players.
"There is great pressure on me now because I am being linked with big European clubs, but this is my ambition.
"The Ivory Coast coach has already told me I will get my chance with the national team, but my chances of that happening would certainly increase if I was to join a big team like Arsenal."
naona sasa tutakuwa tufanya biashara sema kwa urefu wake huyo sio mbaya amlete tu dogo tumuone kama hafai tutamuuza tu.
Ndio kwanza tarehe 7 na tusubirie tu huyu somo yako mkuu yuko kama wakazi wa kariakoo (daima wanasubiri dakika za majeruhi) ndio wanunue mbogamboga kwa bei ya chee. Unakumbuka dili ya Arshavin? Last minutes, wakati mwengine utafikiri Wenger labda anatoa hela mfukoni mwake? atapatana wee mpaka. Tuvumilie tu.hii mechi kuhairishwa ni vizuri kwa majeruhi wetu na ni mbaya kwa ratiba za mechi zetu kwani zitakuwa nyingi mno kwa karibu sana.tuombeni Mungu atunusuru na majeruhi kwani mpaka sasa mwaka umetukalia vizuri.
kitendo cha wenger kusubiria mpaka bendtner kama atakuwa fit au hapana kusajili ,tutakuja kujuta ikitokea injury tena upande wa striker tutapata shida sana.naona bora achukue tu striker au amlete on loan atleast.
Good to see all you mancs and chelski fans jamvini kwetu, naona Belo na Masa, Peasant et al hawako mbali kuchukua ubatizo kwenye the Arsenal Kingdom haha haaaa!!!Good to see you back, you disappeared after the Leeds game!! Did you get lost somewhere in the snow?!