Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Wakuu mupo???,gemu na Everton yaendelea ni dakika ya 25 tushachapwa goli moja lililofungwa na Leon Osman dakika ya 13..Gallas anakosa goli pale....daaaaaaaaaaaah
Eduardo goooooooooooooooooooooooooal,dakika ya 29 Eduardo anatupatia goli la kusawazisha,safi sana
Naona mumo tu wakuu...kila la heri.
maajabu yametokea hapa..
Tehe tehe huenda Steven Pienaar ndo atawafanyia hivyo hivyo ufaransa baadae mwaka huu. Arsenal poleni hii kitu hairudi tena. Zaidi zaidi mnaweza kupigwa 3.