MpigaFilimbi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,169
- 188
another cup upset? unategemea nini kwa Sylvestre?
hawa watoto sio kwamba hawawezi kufunga,tatizo wanataka magoli ya kibitozi mkuu lol.heri ya mwaka mpya.that's what's up..go arsenal go,yaani lile goli la mwishoni mwa 1st half lilinidatisha kabisaa.thanks to ramsy and dudu
Hongera wakuu, tungezubaa tungefanywa vibaya kama jirani zetu! Wenger alifanya mabadiliko wakati mwafaka kabisa. Naona Diaby anakaribia kuwa mwenyewe..
Happy New Year!!
hawa watoto sio kwamba hawawezi kufunga,tatizo wanataka magoli ya kibitozi mkuu lol.heri ya mwaka mpya.