Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tatizo ni kwamba kama Ozil na Wilshere wakiendelea kucheza Arsenal hawatakuwa na uwezo wa kurudisha hili goli.

Ni wakati wa kumwingiza Podolski na Giroud.

Na hio inaitwa kwa kingereza damage limitation.
 
Hii defending ya kipaki basi itaendelea kiwacost arsenal...
 
Tatizo ni kwamba kama Ozil na Wilshere wakindelea kucheza Arsenal hawatakuwa na uwezo wa kurudisha hili goli.

Ni wakati wa kumwingiza Podolski na Giroud.

Na hio inaitwa kwa kingereza damage limitation.

umebakiza Sub moja tu
 
kwa sababu arsenal are defending too deep Mandzucic hahitajiki tena sasa kaingia Mueller kuja kupiga vigongo na ku-ghost behind defendrs......
 
Dakika ni ya 64

Arsenal 0 Bayern Munich

Thomas Muller anaingia badala ya Mandzukic.
 
Back
Top Bottom