Washabiki wa Asernal wengi wanaugua maradhi ya MOYO,jiulize kwanini?
Sometimes, I feel sorry for him, lakini mengine huwa anajitakia mwenyewe.
The Premier League needs physical players, siyo kama akina Ozil jana aliguswa na Henderson huyooo chini na kusabahisha goli.
The League is tough and players like Ramsay are very good, but I don't think they can boss around the middle of the park with players like Yahaya Toure.
Why did the Arsenal team of 2003-04 went the whole season unbeaten?
Gotcha.....
Ukwli ni kwamba I am a die hard Arsenal Fan....Kama ni pain nilishaipata tulipofungwa 8 na Man Utd....Kufungwa 5 ndo niumie Chifu?, Kama sikuumia tulipofungwa 6 na Man Shitty ndo niumie kufungwa 5 na Kops?....Nah
Sasa ulitaka nikucorrect vipi Mkuu wangu....Sina uhakika kama hii hapa chini ni Personal attack...
Btw....Balantanda (kifupi Bala) is my real Sukuma name.......So sina fake ID hapa JF kama unavyodhani...That's me......The Real Balantanda
hahahaah! haya kaka.Bado mnaomboleza? Nimewaletea Rambi Rambi!
Ufike wakati tukubali kuwa WENGER anapaswa kustep down!
Mkuu timu ilipokuwa inashinda na kucheza soka ya kuvutia kuliko timu yoyote EPL toka ligi ianze, hakuna mtu alisema afukuzwe. Hadi jana alipopigwa 5 na Liva.Ufike wakati tukubali kuwa WENGER anapaswa kustep down!
Bado mnaomboleza? Nimewaletea Rambi Rambi!
Kocha wako anajua Ubingwa hapati labda Mwakani....
Tunashukuru kwa kutupashia joto nafasi yetu kileleni.....
Mpaka Jumatano tutarudi tulipopazoea....