Burudani ilikuwa nzuri, You never know which Arsenal will turn up? kipindi cha kwanza boring Arsenal turned up, we had all the possesions but nothing to show,kama kawaida vijana walicheza kama vile wako mazoezi, 2nd half cameo appearance by Captain marvel iliokoa jahazi, Cesc aliwaonyesha vijana jinsi ya ku-move katika zile dangerous little gaps na hatimae alijivunia mabao mawili safi, Abuo goal was the icing on the cake, kwa kweli Diaby ana talent ila mimi huwa ananiudhi kwamba hana consistency, alau mara hii ameonyesha consistency mechi 2 mfululizo,ana potential ya kuwa great midfield player ila anahitaji ku-simplify things sometime, huwa anapenda kujizongazonga kwa kutaka kumuiga Zidane, naamini kama Cesc angekuwa fully fit najua Diaby asingecheza, ila sasa ana nafasi Song akiondoka atuonyeshe makeke yake.
I am very dissapointed with Denilson and Eduardo today. Anyway a good win, let's hope Hull watakaza mkanda 1-1 so far against Mannure. WE STILL CAN WIN THE LEAGUE IN THIS SEASON. Happy new year.