Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 762
Easy mkuu....
Nini tena?....
Kunywa maji mengi kisha tulia.....Hasira zitapungua
Watu wa man u wameugua kichechefu siku hizi
Easy mkuu....
Nini tena?....
Kunywa maji mengi kisha tulia.....Hasira zitapungua
Hawa Astonvilla hawatabiriki ila natumai 2tawapiga tu.
Aya ndugu zng Wazima humu ndani? Leo mkipata droo ni mbaya kweli!
Wakuu mpo niaje jioni ya leo?
Aya ndugu zng Wazima humu ndani? Leo mkipata droo ni mbaya kweli!
Game ya leo ngumu mkuu japo nafarijika kuona Aston Villa wamepanga 3-5-2 na kwa kucheza mfumo huu inawabidi wamiliki saana mpira kuliko Arsenal na kiuhalisia japo mpira unachezwa uwanjani lakinh sidhani kama hili litatokea na kumbuka Arsenal wanaendelea na mfumo wao ule ule wa siku zote 4-5-1.
COYG.
Kama nilivyosema hapo juu Arsenal wataendeleza mchezo wao wa 4-3-2-1 na Giroud anakuwa mbele peke yake lakini Mezut Ozil atakuwa nyuma yake na pembeni kuna Gnabry na Cazorla.
Kama nilivyosema hapo juu Arsenal wataendeleza mchezo wao wa 4-3-2-1 na Giroud anakuwa mbele peke yake lakini Mezut Ozil atakuwa nyuma yake na pembeni kuna Gnabry na Cazorla.
Flamini atakuwa akilinda bckfour na Wishere hatakuwa akienda sana mbele ili kuwadhibiti midfield ya Villa.