Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu wa Gunners kitale kimetulia vijana wapo katika mechi ya kuwatoa nishai hawa jamaa walivuruga mambo walipokuja Emirates ..... .... wenzetu kila uchwao wanabebwa na mbeleko chichi ni lazima tuweke magoli ya uhakika .... .... .COYG
Ushindi leo lazima.
 
Dakika ya 25 na Arsenal wanapoteza mipira kwanza ni Cazorla na pili huyu Ozil naona wanakuwa na haraka mno katika kutoa pasi ndefu.
 
Monreal anapewa kadi ya njanio kwa kumuangusha Gabriel Agbonlahor karibu na anaeo la ndani la Arsenal.

Mpira wa adhabu unapigwa na unaokolewa na mabeki wa Arsenal.
 
......#TeamMburukengeUnited haya nendeni mkakojoe mlale sasa,
mtajiudhi buree leo hapa.
 
Back
Top Bottom