Aya ndugu zng Wazima humu ndani? Leo mkipata droo ni mbaya kweli!
Ahaaa mganga njaaa upo?? Unatanga tanga tu humu ndani.
Angalia jukwaa lilivyochangamka...unaletewa matangazo live....Mjifunze na kule kwenu muwe mnafanya...
Sio mpaka mechi iishe...
Mkuu mi nipo naganga njaa! Nawafanyieni uchuro Leo!
Hayupo kwa benchi la ufundiJamani endeleeni kutujuza! Mbona Ramsey hamjamtaja?
Tupo vizuri leo, hakuna presha wala nini.Aya Mkuu naona presha Leo imepanda!
kumbe wewe mganga njaa?