Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Messi + Neymar + Iniesta + Xavi + Villa +Pique + Puyol + Fabregas + Valdes + Sanchez+ Ibrahimovic + Drogba + Muller + Reus +Ribery + Robben + Gomez + Mandzukic +Sweinsteiger + Gotze + Klose + Hernanes +Rooney + Van Persie + Di Natale + Cavani +Lewandowski + Lahm + Hulk + Eto'o + Hazard+ Balotelli + Ronaldo + Torres + Aguero + Tevez + ElShaarawy + Lampard + Oscar + Essien + DeBruyne + Van Ginkel + Schurrle + Ramires +Obi Mikel + Čech + Azpilicueta + Terry +David Luiz + Cole + Ivanovic + Cahill +Ferdinand + Vidic + Kagawa + Lloris + Defoe +Adebayor + Dembele + Giggs + Valencia +Falcao + Pedro + Soldado + Paulinho +Vertonghen + Fellaini + Neuer + Maicon +Milito + Guarin + Zanetti + Palacio +Fernandinho + Willian + Hart + Tiago Silva +David Silva + Negredo + Jovetic + Yaya Toure+ Sturridge + Mignolet + Agger + Coutinho +Reina + Cazorla + Giroud + Walcott + Lavezzi+ Lucas Moura + Gundogan + Hummels +Subotic + Mkhitaryan + Blaszczykowski +Podolski + Wilshere + Moutinho + Suarez +Nani + Nasri + Mata + Verratti + Kompany +Evra + Pastore + Snejider + Pirlo + Boateng +Marchisio + Chiellini + Pogba + Hamsik +Buffon + Candreva + Handanovic + De Rossi +Totti + Lamela + Eriksen + Robinho +Llorente + Vidal + Diego Costa + Navas +Busquets + Song + Mascherano + Dani Alves+ Jordi Alba = LORD BENDTNER

so funny...........................
 
FA Draw.....

Arsenal Vs Coventry City
At Emirates Stadium.

COYG.....!
 
BREAKING NEWS

Wakuu,

Theo Walcott ameumia sana goti na Arsenal jioni hii wamesema kwamba jeraha ni kubwa mno na litachukua hadi miezi sita kupona.

Hali aliyokuwa nayo alipokuwa akitolewa kwa machela ile siku ya jumamosi alipoonyesha tabasamu, haikutarajiwa na wapenzi wote kwamba Theo ameumia kiasi hicho.

1000x69010.jpg

Theo Walcott

Kwa hali hii sasa ni wazi kwamba Arsenal inakamilisha usajili wa wachezaji wawili au hata watatu ili kujiimarisha zaidi.

Theo Walcott pia hataweza kucheza kwenye fainali za kombe la dunia zitakazofanyika nchini Brazil mwezi June mwaka huu.
 
Mkuu hatuhitaji wachezaji wawili..tunahitaji mmoja tu..CF kwani ujue kwenye wings kunazibika na Oxlade na Gnabry keshakomaa..issue ingekuwa mbaya au itakuwa mbaya siku OLIVIER GIROUD akiumia km hivi na hatuna mtu kushamili mikiki mikiki ya pale kati kama yeye...pia hili linaongeza kununua kuongeza depth kuwa ni MUST tena hakuna jinsi..kwa mfumo wetu wa 4-2-3-1 hata Rosicky na Santi huwa unawaona walitokea pembeni...mida flani mi sioni cha kuogopa hapo..tumtakie apone upesi na aliwahi kombe la dunia baas..
 
Theo Walcott ruled out for six months

After coming off injured in Saturday's 2-0 win against
Tottenham Hotspur, the Club regrettably announces that Theo Walcott has sustained a ruptured anterior cruciate ligament of his left knee.

Theo will have surgery in London in the near future and is expected to be out for at least six months, therefore missing the remainder of the season and the World Cup in Brazil in the summer.

Everyone at Arsenal wishes Theo a speedy recovery and we look forward to seeing him back on a football pitch as soon as possible.

Theo Walcott ruled out for six months | News Archive | News | Arsenal.com
 
Mkuu hatuhitaji wachezaji wawili..tunahitaji mmoja tu..CF kwani ujue kwenye wings kunazibika na Oxlade na Gnabry keshakomaa..issue ingekuwa mbaya au itakuwa mbaya siku OLIVIER GIROUD akiumia km hivi na hatuna mtu kushamili mikiki mikiki ya pale kati kama yeye...pia hili linaongeza kununua kuongeza depth kuwa ni MUST tena hakuna jinsi..kwa mfumo wetu wa 4-2-3-1 hata Rosicky na Santi huwa unawaona walitokea pembeni...mida flani mi sioni cha kuogopa hapo..tumtakie apone upesi na aliwahi kombe la dunia baas..

Amecheza sana na hiyo ni fatigue.

Ni kweli usemavyo Oxlade na Gnabry wanaweza kujaza nafasi.

Wenger huenda akaenda kwa Mandzukic kwani Bayern tayari wanae Lewandowski hivyo kumfanya Manduzikic akae bench.

Kama si hivyo basi tunaenda Athletico Madrid na wanataka 32milions kwa Mbrazil Diego Costa.
 
SHOPPING LIST YA WASHAMBULIAJI ALIYO NAYO ARSENE WENGER.

Mario Mandzukic
60MarioMandzukic0701a.jpg

Licha ya kuwasili kwa mshambuliaji mwingine Robert Lewandowksi kutoka Borrusia Dortmund, Bayern Munich wamesisitiza kwamba hawatomruhusu Mandzukic kuondoka timu hiyo.

Arsenal walikuwa wakitaka wamchukue Mandzukic kwa mkopo baada ya kusikia ujio wa Lewandowski ambae atajiunga rasmi ya Bayern mwezi Juni.

Lakini mwenyekiti wa Bayern Munich Karl Heinz Rummenigge amesema wazi kwamba suala la Lewandowski halihusiani na tetesi zozote juu ya Mandzukic.

Mshambuliaji huyo ana mkataba na Bayern Munich hadi mwaka 2016.

Diego Costa
SetWidth638-Diego-Costa.jpg

Mbrazil anaechezea timu ya Athletico Madrid ndie ambae kwa sasa anazungumzwa zaidi. Na mkataba na timu yake hiyo ambao unamruhusu kuzunguma na timu yoyote ile endapo tu kama dau la kiasi cha Paundi milioni 32 zitafikiwa.

Suala la Diego Costa limekuwa gumu kidogo ukizingatia kwamba Borrusia Dortmund nao wanajitahidi kujikusanya ili kuweka dau hasa baada ya kumuuza Robert Lewandowski ambae amesajiliwa na Bayern Munich.

Alvaro Morata
thumb

Wazo la Morata ni kwamba Arsenal wanataka iwe ni kwa njia ya mkopo wa mezi sita yaani aje tu kuziba nafasi ya Bendtner na awe backup ya Bendtner na Giroud.

Lakini Real Madrid wanakuwa wagumu kumruhusu mchezaji huyo aondoke kwa kuhofia kwamba watabaki na washambuliaji wanne tu wanaotambulika akina Angel Di Maria, Christiano Ronaldo, Karim Benzema na Gareth Bale.

Lakini inawezekana Morata akaruhusiwa kwenda Arsenal kwa mkopo kwa kuangalia idadi ya washambuliaji wa timu hiyo.

Kuna washambuliaji wengine ambao wamekuwa wakifikiriwa na maskauti wa Arsenal akiwemo Dimitar Barbatov ambae atagharimu kiasi cha 2 milioni tu, Roic Remy ambae ni wa msimu ujao yaani huenda akasajiliwa mwezi Julai na hata Salomon Kalou ambae anachezea Lille ya France ambae anafikiria kurudi Uingereza kucheza PL.

Mzee Wenger , please fungua hiyo chequebook na fanya manunuzi.

COYG
 
Amecheza sana na hiyo ni fatigue.

Ni kweli usemavyo Oxlade na Gnabry wanaweza kujaza nafasi.

Wenger huenda akaenda kwa Mandzukic kwani Bayern tayari wanae Lewandowski hivyo kumfanya Manduzikic akae bench.

Kama si hivyo basi tunaenda Athletico Madrid na wanataka 32milions kwa Mbrazil Diego Costa.

Manduzkic hawezi kuja mpaka Summer nda hali halisi ukumbuke Bayern hawana CF mwingine wa kumtegemea na Lewandoski ni mchezaji wa BVB mpaka msimu ukiisha..ata wenger leo kasema deal la Mario gumu kufanyika labda mpaka Summer
 
Walcott ameumia vibaya na hatoweza kuonekana kwa muda unaoweza kufika miezi sita
Tunahitaji mtu kwa haraka kuziba mapengo, majeruhi wamekuwa wengi,
 
Inatakiwa hii week end tuwe tumeziba pengo jumatatu tunaingia kwenye league tukiwa NA striker mpya Diego Costa Ni kila kitu pale.... otherwise tunamwombea Theo kupona haraka... ningetamani kumwona Brazil asee
 
Inatakiwa hii week end tuwe tumeziba pengo jumatatu tunaingia kwenye league tukiwa NA striker mpya Diego Costa Ni kila kitu pale.... otherwise tunamwombea Theo kupona haraka... lningetamani kumwona Brazil asee
Deal la Costa nalo ni gumu kwakuwa kuna recordsnyingi inatakiwa aziweke pale AM coz ndio mpachika mabao mkubwa pale clubuni till now...bt let'shope everythingwill be smoothfine
 
Amecheza sana na hiyo ni fatigue.

Ni kweli usemavyo Oxlade na Gnabry wanaweza kujaza nafasi.

Wenger huenda akaenda kwa Mandzukic kwani Bayern tayari wanae Lewandowski hivyo kumfanya Manduzikic akae bench.

Kama si hivyo basi tunaenda Athletico Madrid na wanataka 32milions kwa Mbrazil Diego Costa.

tatizo mandzukick hamtoweza kumpata mpk mwisho wa msimu na nyie arsenal mnahitaji forward wa kuwawezesha mmalizie msimu.
 
BREAKING NEWS

Wakuu,

Theo Walcott ameumia sana goti na Arsenal jioni hii wamesema kwamba jeraha ni kubwa mno na litachukua hadi miezi sita kupona.

Hali aliyokuwa nayo alipokuwa akitolewa kwa machela ile siku ya jumamosi alipoonyesha tabasamu, haikutarajiwa na wapenzi wote kwamba Theo ameumia kiasi hicho.

1000x69010.jpg

Theo Walcott

Kwa hali hii sasa ni wazi kwamba Arsenal inakamilisha usajili wa wachezaji wawili au hata watatu ili kujiimarisha zaidi.

Theo Walcott pia hataweza kucheza kwenye fainali za kombe la dunia zitakazofanyika nchini Brazil mwezi June mwaka huu.

Hii ni bad news mkuu sasa kuna umuhimu wa Prof kuingia sokoni kutafuta Centre Foward wa uhakika.
... COYG....
 
Wakuu wa Gunners wala msitie shaka prof knows .... .... .... . .COYG.

BTW Ox is back na Gnabry atachukua nafasi za wachezaji wengine .... ... ... .... ..
 
Back
Top Bottom