Mkuu vp kuhusi Giroud unamzungumziaje....
Huyu jamaa jana kazingua mbaya kwa kukosa magoli kizembe. Anahitajika mtu wa kumsaidia.Mkuu vp kuhusi Giroud unamzungumziaje....
Wenger amuweke benchi kama adhabu.for me i pray him a strange injury...
Wenger amuweke benchi kama adhabu.
Tuko hapa boss, sijui wewe?Duh! mfarisayo unaua kabisa...naona wenyewe wamekimbia kwao...
Wapi BAK Balantanda kashengo MwafrikaHalisi Shadow Nyaluhusa87 Piere. Fm Mutambuki Likwanda MpigaKelele Ng'wamapalala Ulimakafu godsonswai
Wote kimya....
Mm* wenu akiwa hapa, muwe na adabu.
Tuko hapa boss, sijui wewe?
View attachment 128941
Game ya j2 ni ngum sana kupita maelezo ila nadhan mzee wenger akifanya rotation kwa watu kama wa 5 au wa 4 nadhani tutashnda. Coz newcastle ana kikosi kidogo ambacho ndo kila siku kinacheza nahisi watakua na fatigue. Kwa watu wa namna hiyo dawa yao ni kuwawekea vibelenge a.k.a mawinga tereza wenye uwezo wa ku score kama walcot na podosky... Halla gunnerz
Upo sahihi na kwa mechi hii binafsi nadhan ni vyema Flamin akaanza samba na Arteta ukizingatia kuwa kuna habari kuwa Cheikh Tiote is back na huyu mtu anatumia sana nguvu so Flamin ana umuhimu wake. Na pia Good news ni kwamba Jack kamaliza adhabu yake hivyo anaweza kuanza, Mchezaji mwingine wa speed ni Rosisky ambaye mech ya katikati ya wiki hakucheza na nadhani Prof aliamua kumpunzisha makusudi kutokana na umri wake hivyo uwepo wake hata kwa kuanzia benchi utasaidia saana mechi hii. All in all Podolsk is also back so hii inaweza kuwa neema though ni ukweli kuwa itakuwa game ngumu.
.... COYG....
ningependa mshinde hii game......mkizidiwa pateni hata draw itakuwa matokeo mazuri sana.........
X
Kurudi kwa Jack welshire na Tomas Rosisky kunaweza saidia tukapata ushindi.
By the way naona unatuombea ushindi kwa mara ya kwanza ili upate kusogea pale juu.
nishasogea niko nyuma yako 5pts tu nafasi ya sita....sasa cheza upigwe kesho uone kama hujarudi nafasi ya tano baada ya wiki tatu....
nishasogea niko nyuma yako 5pts tu nafasi ya sita....sasa cheza upigwe kesho uone kama hujarudi nafasi ya tano baada ya wiki tatu....
ha ha ha ha! unampa za uso mkuu!