Thx man! Vp Xmass ilikuaje? Naona mmeshinda na nyie Leo! Hongera Mkuu! Nataka niangalie game City na LFC Mwana!
Mi siku hizi nabishana na walio Top 4 mkuu....
Hao wa Top 10 sio size yangu......
Teh teh......

we kurupukurupu,sisi tunaangalia mpira kwanza ukiisha ndio tunakuja huku,ndio nyie ubishi umewajaa hata mpira haufatilii timu lako lilikuwa tia maji tia maji kule
Natamani game iishe kwa sare....
Hii ni game inayokutanisha timu bora kabisa katika EPL kwa sasa....
Watu wapo bize kufungua mazawadi ya krismasi.
Hujitambui...nakusamehe bure....