Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ligi ngumu sana hii, droo au kufungwa tunatolewa kwenye kinyang'anyiro cha ubingwa.
 
Hahahahaha lol!!! #Mburukenge weye una moyo kweli, wenzio wote wameshasepa kimya kimya bila hata kuaga baada ya kuona karamu waliyotaka kuifanya kwenye jamvi letu haitakuwepo. By the way congratulations for a big win early today.

Contenders or pretenders?
 
Hahahahaha lol!!! #Mburukenge weye una moyo kweli, wenzio wote wameshasepa kimya kimya bila hata kuaga baada ya kuona karamu waliyotaka kuifanya kwenye jamvi letu haitakuwepo. By the way congratulations for a big win early today.
Mi siku hizi nabishana na walio Top 4 mkuu....

Hao wa Top 10 sio size yangu......

Teh teh......
 
Back
Top Bottom