Timu kubwa gani haijachukua kombe miaka 8,Timu kubwa gani inafungwa goli 8,Timu kubwa gani haijawahi kuchukua UEFA Champions League .Kama umekosa cha kuandika bora ukae kimya
Huyu Giroud sijui vipi?Giroud naona atoke tu na Podolski aingie.
Giroud kaumia sub must be done .... .... . he is not at his best and yellow card too, carz not his best game so far ...
Wenger huwa mzito sana kufanya sub....Giroud kaumia sub must be done .... .... . he is not at his best and yellow card too, carz not his best game so far ...
Haya basi timu kubwa ni Man u ndo maana inaongoza ligi na haijawahi kufungwa goli tano na kuendelea
Arsenal itakua vipi bora wakati inashika nafasi ya 6..?