Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nishasogea niko nyuma yako 5pts tu nafasi ya sita....sasa cheza upigwe kesho uone kama hujarudi nafasi ya tano baada ya wiki tatu....

Wakati timu kubwa zinacheza we nyamaza tu. Angalia mpira sio divers wa mashoga. ...... ...... ...... wacha fujo!
 
Burudika na UB40 kabla ya mtanange ..... ..... ..... ....

BTW wale mashabiki wa F1 ... .. Michael Schumacher ameumia kichwani kule Ufaransa wakati akiwa kwenye holiday skiing ..... ...
 
Wakati timu kubwa zinacheza we nyamaza tu. Angalia mpira sio divers wa mashoga. ...... ...... ...... wacha fujo!

Timu kubwa gani haijachukua kombe miaka 8,Timu kubwa gani inafungwa goli 8,Timu kubwa gani haijawahi kuchukua UEFA Champions League .Kama umekosa cha kuandika bora ukae kimya
 
Wakulu mpo?

Uwanja wa St.James@ Park naona unaanza kujaa wapenzi wa mpira.

Arsenal leo ndio wanatarajiwa kushinda mechi hii muhimu kuliko zote na Newcastle nao wanataka kuhakikisha wanacheza ligi ya mabingwa wa Ulaya mwakani.

Ni mechi ngumu na kutakuwa na magoli mengi.

Roic Remmy na Yohan Cabaye ndio wa kuchungwa sana. Wakifurukuta hawa basi hundi ya kuwanunua itashushwa mwezi Julai mwakani.
 
Wakuu Jack Wilshere anaanza game leo na Mesul Ozil anapumzishwa,pia Mathiew Flamini Rosicky na Cazorla nao wanaanza.
 
Wojciech Szczesny, Sagna, Per, Koscielny, Gibbs,Rosicky, Flamini, Wilshere, theo,Giroud na Santi .... .... Pod,Jenki, Fabiaski, arteta, Miyaichi, Bend wapo bench ... ..
 
Timu kubwa gani haijachukua kombe miaka 8,Timu kubwa gani inafungwa goli 8,Timu kubwa gani haijawahi kuchukua UEFA Champions League .Kama umekosa cha kuandika bora ukae kimya

Umefuata nini kama sio timu kubwa khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nafsi yako inakusuta mwenyewe.
 
Wojciech Szczesny, Sagna, Per, Koscielny, Gibbs,Rosicky, Flamini, Wilshere, theo,Giroud na Santi .... .... Pod,Jenki, Fabiaski, arteta, Miyaichi, Bend wapo bench ... ..

Napenda kuona Wilshere akikabiliana na Cheick Tiote ambae anaziba nafasi ya Atim Ben Arfa ambae ana adhabu kutokana na kadi.

Jack Wishere lazima asimame kidete na apangue ngome ya Newcastle kwa ujuzi wote na sio kuanza kulalamika na kupoozesha mchezo apale atakapopigwa kiatu na Tiote.
 
gun__1378808144_rosicky03.jpg

BTW Mesut Ozil kaumia bega kutokana na taarifa za Gunners .... ...
 
Napenda kuona Wilshere akikabiliana na Cheick Tiote ambae anaziba nafasi ya Atim Ben Arfa ambae ana adhabu kutokana na kadi.

Jack Wishere lazima asimame kidete na apangue ngome ya Newcastle kwa ujuzi wote na sio kuanza kulalamika na kupoozesha mchezo apale atakapopigwa kiatu na Tiote.

Sasa hivi wachezaji wana ushindani sana na mpira wa leo utaanza kwa kasi sana jinsi ninavyotegemea .. .... Pod ataingia kama mambo hayaendi mswano .... ....
 
Full confirmed team news.

Newcastle: Krul, Debuchy, Coloccini, Williamson, Santon, Anita, Tiote, Cabaye, Sissoko, Remy, Gouffran.

Wachezaji wa akiba: Elliot, Haidara, Yanga-Mbiwa, Sammy Ameobi, Ben Arfa, Shola Ameobi, Cisse.

Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Flamini, Rosicky, Wilshere, Walcott, Cazorla, Giroud.

Wachezaji wa akiba: Fabianski, Jenkinson, Arteta, Ryo, Bendtner, Gnabry, Podolski.

Mwamuzi ni kijana Lee Probert kutoka wilaya ya Wiltshere.

Probert ni refa mzuri na hapendi wapiga mbizi.
 
Kila la kheri kwa Gunners kipute ndio kinaelekea kuanza.
Ushindi ni muhimu sana kwa leo.
COYG.
 
Naona tumewabana lakini inabidi kutafuta nafasi nzuri ili kufunga.
 
Gibbs amejaribu mpira wa juu kumtafuta Walcott lakini inakuwa chakula kwa Tim Crul kipa wa Newcastle.
 
Back
Top Bottom