Manchester City vs Arsenal - EPL (Dec 14, 2013)

Manchester City vs Arsenal - EPL (Dec 14, 2013)

Naona umeamua kuongeza post kwa kuniquote.....

Ngoja nikupuuze

Waulize Mods watakujibu Hiyo!

Jamani Hali ni mbaya Kwa Arsenal! Na Yule Mzee Wa uchumi haelewi afanye nini ndani ya Etihad!
 
kwani mechi imeisha wewe? Ndio kwanza dakika ya 25....

Tulia wewe mtoto Wa Liemba Mfipa usije ukaanza kuongea kifipa hapa Uko Etihad!

Pachele pang'anda!

Ni hatari pale langoni mwa Arsenal!

Aguero 1 arsenal 0
 
Tulia wewe mtoto Wa Liemba Mfipa usije ukaanza kuongea kifipa hapa Uko Etihad!

Pachele pang'anda!

Ni hatari pale langoni mwa Arsenal!

Aguero 1 arsenal 0

Hahahaah!! Unaona tunavyoanza kurudi mchezoni taratibu?
 
Arsenal wanapata nafasi lkn Hawa watot hawajui wafanye nini!

Lalala ni hatari langoni mwa watoto!

Utajiju weye na presha yko!

Hebu wewe kuwa serious kidogo.
Ungekuwa jirani ningekukata makofi....lol.
 
Uzembe wa Monreal

City wanakosa goli la wazi.....Safi sana Per
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom