arsenal kimyaaaa.....nini kimetokea tena,si mlijigamba kuwa mtawafunga kulekule kwao
Hawa hawanipi presha hata kidogo.
Nani kakudanganya wewe? Ligi inaelekea ukingoni wewe jipe tu matumaini.Kwani ligi si Ndo imeanza
......#Mburukenge wamejaa tele humu ndani leo,....
Hawaninyimi usingizi mie.
Thats why it is called a Champions League you need to beat best teams to triumph..
hamna uchochoro...
Hawa hawanipi presha hata kidogo.
kwa sababu umezoea wanaku-knock out
Ahaaaaaaaa!!! Upo mkuu sikupata kukuona siku ile kwa Cabaye ulipotea kabisaa.
Possible opponent
Barcelona,PSG,Real Madrid,Bayern ,Atletico
tumequalify..hilo ndilo la msingi...opponents yeyote tutakabiliana nae
Japo Tumefuzu but siyo siri kuna uwezekano wa kukutana na Beyern Munich, Barca au Real Madrid kitu ambacho kitasababisha hali kuwa tete.
Tatizo watu wanaangalia Majina wanasema Group of Death sasa wamejionea wenyewe historia imewekwa na napoli kwa mara ya kwanza unafikisha 12 points halafu hawajaingia kwenye 16 bora,pili waangalie kundi tulilopita wawaangalie hao wapinzani tunaoweza kukutana nao mbona sijaona tofauti yoyote msimu uliopita Madrid katolewa na BMunich ambayo tuliifunga sisi uwanjani kwao,msimu huu tumeenda kushinda Kwa BvB kwao ambao waliwatoa Barca msimu uliopita Munich tumeshacheza nao msimu uliopita labda PSG,Atletico Madrid ambao hatujacheza nao lakini wengine wote tulishawahi kucheza nao......to Qualify you need to be tested with the Best, ndio maana ikaitwa Champions League.
nilisafiri...ila keshokutwa tutakuwa wote pale ETIHAD....naomba mpate draw tu wala msifungwe
.....#BringThemOn .....!
COYG Dont conceed a defeat hata hamjaingia ulingoni,
It's great being seen as Underdogs!
Hahahahahahahaha!! haya mkuu sasa hiyo dro itakusaidia vp?