Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumekuwa wapili kwenye Kundi....Ishakuwa ngumu hii aisee

Huo ugumu wanaweka hawa Pundits lakini inaweza kuwa tena Arsenal wakapangwa na Man Utd au Paris st Germain au Real Madrid, AC Milan na Garatasaray.

Au tukapewa Athletico Madrid, Zenit St Petesburg au Bayern Munich pia.

Tusubiri Jumatatu.
 
Kusema kweli Arsenal tumeanza kushuka kiwango,huyu babu aache ubahili asajili wachezaji wenye kiwango.alimwacha Higuian leo ametufunga.
 
Kusema kweli Arsenal tumeanza kushuka kiwango,huyu babu aache ubahili asajili wachezaji wenye kiwango.alimwacha Higuian leo ametufunga.

Tusimlaumu sana Wenger, wachezaji nao wana fungu lao la lawama
 
Kauli yako ni ya kuomba Rehema za watu!
Aya tumekusikia
Wikendi tunampiga Manchester City then tunaweka gap kubwa ya points, Chelsea hatusumbui sana naye tutampiga nina imani hiyo
 
Wikendi tunampiga Manchester City then tunaweka gap kubwa ya points, Chelsea hatusumbui sana naye tutampiga nina imani hiyo

Wewe temea mate chini! Usirudie tena kauli yako!
 
tumequalify..hilo ndilo la msingi...opponents yeyote tutakabiliana nae
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kusema kweli Arsenal tumeanza kushuka kiwango,huyu babu aache ubahili asajili wachezaji wenye kiwango.alimwacha Higuian leo ametufunga.
Katufunga then what?? Angekuwa kiwango angesaidia timu kuvuka kwenye hii hatua ya makundi.
 
Arsenal will play either:
Real Madrid, PSG, Bayern Munich, Atletico Madrid or Barcelona
 
we needed to avoid 3-0 defeat to progress and we have done it, so what is the point of mournig?

Haters..tuonane jumamosi pale Etihad stadium
 
Arsenal will play either:
Real Madrid, PSG, Bayern Munich, Atletico Madrid or Barcelona

Thats why it is called a Champions League you need to beat best teams to triumph..
hamna uchochoro...
 
Ntuzu..sasa unaruhusiwa kubaki na thread ukipost mpaka asubuhi wenzio tunalala..ulikuja unataka tutulewe bahati mbaya haikutokea...tukutane jumamosi
 
Last edited by a moderator:
Huo ugumu wanaweka hawa Pundits lakini inaweza kuwa tena Arsenal wakapangwa na Man Utd au Paris st Germain au Real Madrid, AC Milan na Garatasaray.

Au tukapewa Athletico Madrid, Zenit St Petesburg au Bayern Munich pia.

Tusubiri Jumatatu.

Mkuu napata shida kuelewa post yako. Utaratibu wa UEFA unasema timu zillizotoka nchi moja (same FA) hawawezi kukutana kwenye last 16, manake ni kwamba Man Utd na Arsenal hawawezi kukutana. Taratibu pia zinasema mshindi wa kwanza kwenye group moja atacheza na mshindi wa pili wa group tofauti, manake ni kwamba Arsenal haiwezi kucheza na timu yoyote iliyoshika nafasi ya pili kama wao, hivyo basi Milan na Galatasaray hawawezi kucheza na Arsenal kwenye hatua hii.
 
Huo ugumu wanaweka hawa Pundits lakini inaweza kuwa tena Arsenal wakapangwa na Man Utd au Paris st Germain au Real Madrid, AC Milan na Garatasaray.

Au tukapewa Athletico Madrid, Zenit St Petesburg au Bayern Munich pia.

Tusubiri Jumatatu.

1.arsenal hawezi kukutana na man utd wala man city wala chelsea kwenye last 16 stage
2.arsenal hawezi kukutana na galatasaray wala zenith st petersburg wala ac milan kwasababu hao ni runners up kama arsenal

arsenal anaweza kukutana na real madrid,barcelona,bayern munich,psg,atletico madrid
 
afc_v_barca_ucl.jpg
 
Back
Top Bottom