Tumevuka you hater, haya kanywe sumu.Naona mmepotea
Nani kapotea wewe?
Nani kapotea wewe?
Mlisema tusubiri Desemba, sasa imekuwa Jan. tena..!We subiri Jan
Tumekuwa wapili kwenye Kundi....Ishakuwa ngumu hii aisee
Tumevuka you hater, haya kanywe sumu.
Nimeangalia mambo ya kawaida.Arsenal, au huangalii mpira
wanababaika sana mashabiki wa Manchester United, walizoeaga Xmasi kuwa kileleni ila mwaka huu mambo yamegeukaMlisema tusubiri Desemba, sasa imekuwa Jan. tena..!
Tumekuwa wapili kwenye Kundi....Ishakuwa ngumu hii aisee
Ok subiri magazeti ya Dimba keshohaiwezekani
Kifo Cha mende
Mlisema tusubiri Desemba, sasa imekuwa Jan. tena..!
wanaotisha hapo ni PSG na Bayern pekee, hao wengine ni viroba tuPossible opponent
Barcelona,PSG,Real Madrid,Bayern ,Atletico
Hii ni unexpected!!......Itakuwa 3rd times tunatoka kwenye 16...anyway lets cPossible opponent
Barcelona,PSG,Real Madrid,Bayern ,Atletico
Narudia kusema kuwa EPL msimu huu ni ya Arsenal, mbona hamuelewi?Kwani ligi si Ndo imeanza
acha matusi bana mkuu
Ok subiri magazeti ya Dimba kesho